Wanawake Salamu zangu ziwafikie.

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Haya ni Maneno kama Yalivyoandikwa na Isaya!

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Back
Top Bottom