Muwapelekeni bafuni kwanza ndugu yangu... Hata hivyo sidhani kama hali ilikuwa mbaya kihivyo la sivyo usingefikisha alfajiri
Jr[emoji769]
Kumbe kiswahili kimekua lugha ngumu hivi....
Ebu ngoja nikae hapa nisome comments, labda nitaelewa.
Hali ni mbaya mkuu... Ungekuwa unae usingevumilia kbsaMuwapelekeni bafuni kwanza ndugu yangu... Hata hivyo sidhani kama hali ilikuwa mbaya kihivyo la sivyo usingefikisha alfajiri
Jr[emoji769]
Mkuu harufu mixa ya aja kubwa? Hapana asee... Ata ivo Leo ndo nmejijua kuwa nna roho ngumu asee dahhHiyo harufu kuna watu ndio ugonjwa wao kiongozi.
We kwani ni wapi?
Ni aibu sana kwa mtoto wa kike kutoa harufu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unajilia mema ya nchi we km umemshindwa kwa ako ka harufu nipe mie namba zke nina project nao wenye ka harufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu harufu mixa ya aja kubwa? Hapana asee... Ata ivo Leo ndo nmejijua kuwa nna roho ngumu asee dahh
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo vijana wetu wanavamia, walitakiwa wapitie bafuni kwanza ubinadamu una mengiMuwapelekeni bafuni kwanza ndugu yangu... Hata hivyo sidhani kama hali ilikuwa mbaya kihivyo la sivyo usingefikisha alfajiri
Jr[emoji769]
Watu hawafanani na kuna kuoga na kujiswafi... Na watu wanene huwa ni rahisi sana kutoa jasho... Whatever the case next time before anything muoneshe mlango wa bafuni... Wanawake wanaojitambua hufanya hivyo hata kama katoka kwake msafiKaka mshana mbona kabla ya kuonana alinambia anapita nyumban kwake kuoga kwnz? Af ni wa apa apa dar es salaam yan
Sent using Jamii Forums mobile app
No am too selective... Huwa nasoma mazingira mapema sana[emoji23][emoji23][emoji23]