Yule mama kahojiwa Juzi mkavu kabisa amekaseirika yani Kwamba mboso kadhalilisha familia...!! Sasa nikashngaa ulokole gani huu wa kutaka kuficha dhambi ambayo ilishafanyika?? Bora watubu mambo yaende... maana mboso akaona hii familia inanichoresha Akaweka na Party nzuri tu juzi hapa akati hata mwezi haujapita mama watoto wake amefarikiKama nakumbuka vizuri nilimsikia mdogo wake anahojiwa EATV nadhani, alisema amezaa kweli Ila hizi taarifa hataki zifike kwenye familia Yao hasa mama yake asijue, na alisisitiza kabisa kuwa kwa mama inabidi ifahamike Martha hajawahi kuzaa na hajawahi kuwa na mtoto, sikuwa interested sana kuendelea kujua Stori ikoje so sifahamu chanzo cha hayo yote ni nini na kwanini iko hivo.
Hivi Yule mwenye zgo picha ya juu ndo Nani
JF member