Wanawake pasua kichwa Aisee

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,494
41,916
Kuna dada flani anaitwa Martha Mchekeshaji alifariki hapo Juzi kati Mungu ampunguzie adhabu ya Kaburi lakini Kilichonishtua ni MBOSO kuamini kuwa ana mtoto na yule dada na ukute alikuwa anatoa hela za matumizi kabisa.

Too bad familia ya binti imepinga vikali kuwa binti yao hajawahi kuzaa alikuwa analelea watoto yatima tu kama watatu hivi so nikajiuliza labda mtoto mmoja alipewa mboso na kuaminishwa kuwa ni wake au Je ni kweli binti alibeba mimba kimya kimya bila familia kujua mpaka akajifungua lakini kwa kuwa familia yake ni ya kilokole bhasi binti aliificha Mimba na Mtoto.

Kiukweli maswali ni Mengi kuliko majibu lakini kwa hili wanaume tuwe makini mwanamke anapokwambia ana mwanao Funha safari nenda kamuone kama una mashaka pima DNA kabisa kesi hii inafanana na ya MUNA japo ukweli aliusema yeye sababu Aliefariki no mwanae vipi angefariki yeye???? Wanawake hapana aisee
IMG-20190925-WA0000.jpeg
 
Kama nakumbuka vizuri nilimsikia mdogo wake anahojiwa EATV nadhani, alisema amezaa kweli Ila hizi taarifa hataki zifike kwenye familia Yao hasa mama yake asijue, na alisisitiza kabisa kuwa kwa mama inabidi ifahamike Martha hajawahi kuzaa na hajawahi kuwa na mtoto, sikuwa interested sana kuendelea kujua Stori ikoje so sifahamu chanzo cha hayo yote ni nini na kwanini iko hivo.
 
Yule mama kahojiwa Juzi mkavu kabisa amekaseirika yani Kwamba mboso kadhalilisha familia...!! Sasa nikashngaa ulokole gani huu wa kutaka kuficha dhambi ambayo ilishafanyika?? Bora watubu mambo yaende... maana mboso akaona hii familia inanichoresha Akaweka na Party nzuri tu juzi hapa akati hata mwezi haujapita mama watoto wake amefariki
 
Tatizo si la marehemu Martha, tatizo ni hiyo Familia Kuna tatizo ambalo hawataki lijulikane.
 
Back
Top Bottom