Wanawake njooni mtupe experience kidogo!

Umenikumbusha mbali sana mkuu!!!

Kuna jamaa yangu yeye alishajiwekea maamuzi kwamba hawezi kutongoza mwanamke ambaye ni under 30 labda kwa bahati mbaya ama kwa kutojua age yake.
Changamoto iliyopo kwa hawa huwa ni garama,mara nyingi wanaangalia mahitaji yao ya kimaisha..biashara,kazi n.k
 
Sijawah pata mwanamke wa hivyo..

Maaana Kabla sijakufuata naangalia vishiria Kama nitakupata, Kama naona viashiria vinakinzana bas sikufuati..

Hivyo naepuka hiko sitak nataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…