Wanawake njooni mtupe experience kidogo!

Nataka nisikie umeukubali wimbo wa fid Q na Roza ree nikupigie saluti.
 
Naagiza muda huu mkuu

Naomba na Asprin aagize k vant hata mbili
Kabla sijaagiza naomba wasifu wa mtoa ofa. Unajua nakujali sana na sipendi wakulagai...

Ni afadhali nikuoe mwenyewe kuliko upotee njia
 
Haya matirio ya kukamatia PhD ya ubanguaji korosho sijakufundisha mimi. Leo utaniambia kama unaenda twisheni na nani kakulipia twishen fiiz.
 
Kabla sijaagiza naomba wasifu wa mtoa ofa. Unajua nakujali sana na sipendi wakulagai...

Ni afadhali nikuoe mwenyewe kuliko upotee njia

😂😂😂😂😂
We mzee bhana!
 
Haya matirio ya kukamatia PhD ya ubanguaji korosho sijakufundisha mimi. Leo utaniambia kama unaenda twisheni na nani kakulipia twishen fiiz.

Si wewe ndio ulinipeleka twisheni ,umesahau?😅
 
Wakati anakuzungusha hivi , kwamba wewe huoni wanawake wengine?

Msipende kujipa shida za kujitakia! Na mara nyingi wenye hiyo tabia ni wenye matatizo kimahusiano au anao wengi.

Ke aliye kwenye mahusiano mazuri anakuchana mapema tu. Anakubali au atakataa, na hawezi kukupa hata siku tatu.
 
Ni kweli kabisa inatakiwa tukubali harakaharaka
 
Mara nyingi wale wakubwa kuanzia 30+ hawasumbui
Umenikumbusha mbali sana mkuu!!!

Kuna jamaa yangu yeye alishajiwekea maamuzi kwamba hawezi kutongoza mwanamke ambaye ni under 30 labda kwa bahati mbaya ama kwa kutojua age yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…