Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Agiza kinywaji tafadhali! Umetisha sana mkuu1.Katika sheria kukaa kimya nafikiri inamanisha ni hapana/kukataa....japo kuna some excemptions so the option ni wewe kukaa kimya kama yeye ama kuendeleza jitihada za kumtext na kumpigia hadi utakapoona umechoka
2.Kuhusu kutozwa kodi hapo ni suala ambalo ni innevitable kwasababu uko na mission ya kumteka huyo unayemtaka so utalipa kodi hadi amalize kukufikiria
3.Hii ya tatu nafikiri huwa tunamaanisha hii nyimbo hapo chini
Agiza kinywaji tafadhali! Umetisha sana mkuu
Mkuu hao watu akili zao wanazijua wenyewe.Kuna maswali huwa yananitatiza kidogo kuhusu kumtongoza mwanamke!
1:unapoanza kumtongoza mwanamke wengine wana tabia ya kutokujibu sms kwa wakati,ama asijibu kabisa ama akawa ana ignore Simu zako n.k huwa mnamaanisha nini!?Kama hutaki si unasema sitaki!!!
2:kuna wengine eti ngoja nikufikirie!wakati huu huo anataka kukutoza kodi za TRA,huwa mnamaanisha nini!?
3:Wengine Mara bado mapema wakati still ni muda umepita analeta hadithi njoo uongo njoo tamkolea!huwa mnamaanisha nini!?
Mwanamke ukibali haraka ama uchelewe kukubali haibadilishi kitu kama wewe ni Kicheche
Wanawake njooni mtoe ushuhuda hapa!
😂😂😂😂Hii kwa kweli ni kero sana.
Umeefuraaahii....basi kuona mada imenigusa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hojaMara nyingi wale wakubwa kuanzia 30+ hawasumbui
Hahaaaa
Mara nyingi wale wakubwa kuanzia 30+ hawasumbui
Hii kwa kweli ni kero sana.
Nakumbuka ilinitokea hiyo ya namba 1 na nilikuwa na nia naye ya dhati. Ndani ya wiki mbili tu hali ilinishinda nikapiga chini na namba ya simu nilifuta nikaendelea na purukushani zangu za maisha.
Msiwafuate mahousigel ndo wenye hizo tabia