mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Wivu utakuua,kaa ukijua mwanamke na mungu huwa hawafanyi agano na masikini hata mara moja,saka pesa uwe karibu na mungu na mwanamkeKweli wanawake ni watu wa kipekee sana nimekuwa nawaangalia kupitia wale niliokuwa nao kwenye mahusiano kuna wenye akili ila wengine ni "mbumbumbu" nakumbuka kuna dada mmoja nilikutana nae chuoni akiwa hana nyuma wala mbele (Mshamba) ila kwakupitia yeye mengi nimejifunza katika mahusiano.
Kipindi namjua hakuwa na marafiki wa kumshauri maana baada ya kujua kuvaa vimini ndo shida ikaanzia hapo yaani club zote zilimjua kwa ukuwadi wake na ujinga wake alibadilika tabia na akaona mimi si chochote mbele yake.
Na mimi baada ya kuwa mbali nae kwa muda nilipata mwingine nikawa nae kwenye mahusiano na baadae tukapata mtoto ila nilifanya makusudi ili aone kuwa mwanaume hakataliwi hata kama hana gari na pesa bado tu ni mwanaume, baada ya kuzaa na yule dada niliporudi likizo nilimwambia kuwa sasa hivi mimi sio mwenzake yaani nina mtoto.
Basi alichachawa toka siku hiyo ujinga wake ukaanza kupungua mimi nikaendelea kumla ila akiwa anajua kuwa ana liwa na baba sio yule mpenzi wake wa zamani.
Baadae niliona ni ujinga kuendelea kuwa nae nikaamua kukatisha mawasiliano na yeye kwani sikumtaka tena baada ya kuona mtoto wangu anampa pumu anashindwa kupumua na yeye eti akaanza kunikomoa na vipicha vya mabwana wake wakati kasahau nishamgaragaza sana eti nione wivu kumbe mwenzake sioni hata gere.
Na mimi nikawa natuma picha za marafiki zangu kuwa ni wapenzi wangu basi acha wivu umpande kama kapewa dozi ya kisonono ila toka hapo nimejua kuwa wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui.
Tuwe na mapenzi ya dhati bila kujali umasiki au hali ya mtu ubaya sasa nilishaga mpeleka hadi nyumbani..
Raphael wa Ureno..........
Kweli wanawake ni watu wa kipekee sana nimekuwa nawaangalia kupitia wale niliokuwa nao kwenye mahusiano kuna wenye akili ila wengine ni "mbumbumbu" nakumbuka kuna dada mmoja nilikutana nae chuoni akiwa hana nyuma wala mbele (Mshamba) ila kwakupitia yeye mengi nimejifunza katika mahusiano.
Kipindi namjua hakuwa na marafiki wa kumshauri maana baada ya kujua kuvaa vimini ndo shida ikaanzia hapo yaani club zote zilimjua kwa ukuwadi wake na ujinga wake alibadilika tabia na akaona mimi si chochote mbele yake.
Na mimi baada ya kuwa mbali nae kwa muda nilipata mwingine nikawa nae kwenye mahusiano na baadae tukapata mtoto ila nilifanya makusudi ili aone kuwa mwanaume hakataliwi hata kama hana gari na pesa bado tu ni mwanaume, baada ya kuzaa na yule dada niliporudi likizo nilimwambia kuwa sasa hivi mimi sio mwenzake yaani nina mtoto.
Basi alichachawa toka siku hiyo ujinga wake ukaanza kupungua mimi nikaendelea kumla ila akiwa anajua kuwa ana liwa na baba sio yule mpenzi wake wa zamani.
Baadae niliona ni ujinga kuendelea kuwa nae nikaamua kukatisha mawasiliano na yeye kwani sikumtaka tena baada ya kuona mtoto wangu anampa pumu anashindwa kupumua na yeye eti akaanza kunikomoa na vipicha vya mabwana wake wakati kasahau nishamgaragaza sana eti nione wivu kumbe mwenzake sioni hata gere.
Na mimi nikawa natuma picha za marafiki zangu kuwa ni wapenzi wangu basi acha wivu umpande kama kapewa dozi ya kisonono ila toka hapo nimejua kuwa wanawake si wenzetu yaani ukikosa pesa hata kama mlitoka kijijini wote mkifika mjini huyo si mwenzako tena hakujui.
Tuwe na mapenzi ya dhati bila kujali umasiki au hali ya mtu ubaya sasa nilishaga mpeleka hadi nyumbani..
Raphael wa Ureno..........
Matunda ni pamoja na afya nzuri uliyonayo.Yaani hiyo ndo dawa yao ila yeye alikuwa ananikomoa kweli mimi nikatumia plan B kuweza kumteketeza na kweli hiyo plan B ilizaa matunda mazuri hadi leo anaamini mimi ni bonge la play boy kama yeye alivyoonesha ukahaba wake kwangu.
Yawezekana ila sina uhakika na hiloInaelekea wote ni watoto Kiakili bado.
Duh ndo kutulaani au?Wanaume wengine bwanaa! Mlipewa akili na maarifa ili muiongoze dunia badala yake mnatumia akili zenu kufanya mambo ya ajabu alafu mnajiona wajanjaaaa. Ipo siku mtajibu kwa Muumba wetu hizo akili alizowapa mlizitumiaje.
Sio kwamba nawalaani, akili zenu mnazitumia kinyume na matakwa ya Mungu wetu.Duh ndo kutulaani au?
jst wanna understand who is this mungu mentioned here? is it the real God or mungu is the name of the person.Wivu utakuua,kaa ukijua mwanamke na mungu huwa hawafanyi agano na masikini hata mara moja,saka pesa uwe karibu na mungu na mwanamke
Sawa mama nmekuelewa japo kwa shidajst wanna understand who is this mungu mentioned here? is it the real God or mungu is the name of the person.
Cause what I know our God is merciful God and He loves all the people regardless of their wealth.
Bora tu unielewe ma dear na nimefurahi. Unajua Mungu hana mizaha kama wanadamu kwa hiyo tuchukue hatua kabla ya kuandika chochote.Sawa mama nmekuelewa japo kwa shida
Uko serious sana nimefurahishwa na weweBora tu unielewe ma dear na nimefurahi. Unajua Mungu hana mizaha kama wanadamu kwa hiyo tuchukue hatua kabla ya kuandika chochote.
be blessed.