Kwanini ufe mapema hadi ulazimishe kuelewa viumbe Ke ambavyo hata vyenyewe havielewi akili zao zinataka nini [emoji848][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwanza nchekeee!!
Mshikaji wangu Homeboy alikuwa na Demu hapo Mwanza Town so alikuwa amepata demu mkali wa Kisukuma bomba sana.
Waliishi mida mida hivi kama miaka miwili hivi. Wakisaidiana maisha yanaenda kimtindo.
Ofcourse mwanamke alikuwa na vikazi vyake vya hapa na pale anapata kipato japo cha kwenda chooni.
Kutokana na kipato hafifu Mwanamke alikuwa amepanga Chumba kimoja analipa 50k.na hata hivyo ilikuwa mbinde kupata Kodi ya mwaka so bwana wake akawa anamlipia sometimes.
Sasa imetokea Mwanadada kahamia sehemu nyingine akachukua master room 100k. Na sasa analia lia kuwa hana kodi so Mshikaji amlipie.
Kutokana na Homeboy mazao yake ya kilimo hayajastawi vizuri kutokana na mwua hafifu hana huo msaada kipindi hiki. Sasa Homeboy anauliza inakuwaje ulikuwa unashindwa kodi ya elfu 50 na sasa unachukua room ya laki?
Niliacha juzi kati huko penzi lao linafukuta moto.
Wanawake jamani au kapata bwana jipya?
Hahaha kweli aiseeKwanini ufe mapema hadi ulazimishe kuelewa viumbe ambavyo hata vyenyewe havielewi akili zao zinataka nini [emoji848]
Maisha ni wewe, chukua hatua sasa [emoji16]
Sasa mbona anamgombeza mwenzake mpaka hawaelewani kabisaHela anayo. case closed
si anataka apate kotekote, wanawake ndo walivyo akimute anajua mwana ataona yupo vzuri asitoe msaadaSasa mbona anamgombeza mwenzake mpaka hawaelewani kabisa
Mtu anabwagwa very soonπ π π π π kwanza nchekeee!!
Mshikaji wangu Homeboy alikuwa na Demu hapo Mwanza Town so alikuwa amepata demu mkali wa Kisukuma bomba sana.
Waliishi mida mida hivi kama miaka miwili hivi. Wakisaidiana maisha yanaenda kimtindo.
Ofcourse mwanamke alikuwa na vikazi vyake vya hapa na pale anapata kipato japo cha kwenda chooni.
Kutokana na kipato hafifu Mwanamke alikuwa amepanga Chumba kimoja analipa 50k.na hata hivyo ilikuwa mbinde kupata Kodi ya mwaka so bwana wake akawa anamlipia sometimes.
Sasa imetokea Mwanadada kahamia sehemu nyingine akachukua master room 100k. Na sasa analia lia kuwa hana kodi so Mshikaji amlipie.
Kutokana na Homeboy mazao yake ya kilimo hayajastawi vizuri kutokana na mwua hafifu hana huo msaada kipindi hiki. Sasa Homeboy anauliza inakuwaje ulikuwa unashindwa kodi ya elfu 50 na sasa unachukua room ya laki?
Niliacha juzi kati huko penzi lao linafukuta moto.
Wanawake jamani au kapata bwana jipya?
Kwanini unasema hivyo. Mi nilidhani ni zile tabia za wanawake kupenda vitu wasivyo na uwezo navyo.Mtu anabwagwa very soon
HeheheKwanini wasiishi wote sehem moja ili hyo kodi awe analipa kihalali na mbususu anapata kila mara?
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Na yeye anategemea pesa za mavuno.Akili za Mwendokasi pesa za mavuno ya vikoba shida ndio inaanzia hapo.. nisiongee mengi akili zao wanazijua wenyewe
Yes mwanamke akishakufanya wewe ni danga lake yaani kitega uchumi chake unekwisha mwaisa jipange upya utaingia kwenye Mikopo isiyokua na sababu kisa kitobo kimoja kisichokua na time na wewe..Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Na yeye anategemea pesa za mavuno.
π π πYes mwanamke akishakufanya wewe ni danga lake yaani kitega uchumi chake unekwisha mwaisa jipange upya utaingia kwenye Mikopo isiyokua na sababu kisa kitobo kimoja kisichokua na time na wewe..
Wanawake hawa hata siwaelewiSasa Cha gharama Cha nn mtu yupo pekeyake
Huo ni ukweli mchunguHuwezi panga sehemu huna uwezo napo
Jamaa ajiongeze tu ila akumbuke ukimwi upo