Kwa sababu ni wazito kusahau......
Kwann wanawake ni wepesi sana kusamehe katika mapenzi ukilnganisha na wanaume hata kama kamfumania mpenzi
wake akiwa na mwanamke mwingine?
wanawake kama hao wanayao-most likely with a level of psychosis in them!
it is not normal for a human being to stick around after being treated like trash-not human nature!!
labda wanakuaga na mpango wa kulipiza kisasi badae..that would make a lot of sense to me!!
Tena mnan'gan'gania vibaya.....yaani