Wanawake ni wengi mno!

Nimependa haya maandishi ni lyrics za Julio iglesias kwenye nyimbo yake ya "too many women" its the best song Julio has ever composed, best melody with an amazing vocal technique.

Jamaa inasemekana ameshatembea na wanawake 3000 katika maisha yake.

Pia ni baba yake Enrique iglesias, hawana uhusiano na mwanae kwa miaka mingi na dogo wakati anaoa hakumualika baba yake. Lakini wakiulizwa kama wana hitilafu hakuna anaekubali kuwa mahusiano yao sio mazuri.

Julio iglesias aliwahi kuwa Golikipa wa timu ya Real Madrid.

Inasemekana ndio the best male Spanish singer of all time.

Wale back females vocal singer wake walikuwa wazuri na warembo mithili ya malaika na wote alikuwa analala nao kwa wakati mmoja.

Aliwahi kulala na mashabiki waliong'ang'ania mlangoni kwenye hoteli aliyofikia baada ya kugoma kuondoka wakitaka penzi la Julio. Basi jamaa akawaruhusu security wawaachie alale nao wote. Hatari!

Huyo ndo Julio anasema "too many women"
 
Hahahaha true kabisa mkuu !! Waspanish si unawajua tena
 
U mean lost love cant be replaced?? What if ukapata utakaempenda zaid ya aliekuacha mwanzo
Of course, inatokea but that can't be considered as a lost love rather it will be a new love. Ni kama mama kuachika then baba akavuta mwingine, hata awajali vipi hawezi kuwa mama atabaki kuitwa step mother.
 
Yeah ananihudumia poa mwaya wifi langu... Tatizo michepuko yake sasa


Mie jambo sana. Vipi weye
Ni mapenz upofu au sababu wahudumiwa vizuri hata ujue ana michepuko but seems you dont mind flani hivi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…