alitoa kipindi hata hajawa na mimi
Mkuu huwezi jua labda mama ake ni Abdallah asee...
Mkuu huwezi jua labda mama ake ni Abdallah asee...
Mi nimepiga chini mtu jana. Utasikia baby leo namsindikiza dada msibani sitapatikana, mara dada kalazwa shemeji kaondoka na simu yangu. Mara kuna mzigo nilipeleka site kwa dada simu niliacha home, mara leo nalala sa kumi hadi kesho nimechoka mno. Huo ujinga nani anataka
Rekebisha kwanza title mkuu wanawake ni watu ila matendo yao hutofautiana
aaaaahhhh mkuu uligeuzwa spear tyre aaaaahhhh pole sana ila jamani si alikuwa anakuaga?