usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 154
WANAWAKE SIO WATU:
Jamaa mmoja karudi mapema kutoka Kazini mpole!
MKEWE: Vipi leo mbona mapema na mpole hivyo?
MUME: Ofisi yetu imeungua Moto na watu wote wamekufa.
MKEWE: Sasa ilikuwaje wewe ukapona?
MUME: Nilikuwa chooni, nje kidogo na ofisi.
MKEWE: Loh maskini familia zao zitakuwaje?
MUME: Watalipwa milioni 200 kila mfiwa.
MKEWE: Akahamaki kwa hasira, "Ona sasa kunyakunya kwako ovyo umetukosesha mihela yote!!
Tafadhali rudi huko kabla moto haujazimika!
Vipi, umevurugwa nini?
unaweza uwe unataka kumuoa anakukatalia au kukusumbua eti ana mtu wake, kumbe huyo anayedai ni mtu wake hana hata nia ya kumuoa,..akishachezewa vya kutosha au kuumizwa na huyo mtu ndio anakuja kwako huku ushaoa au una mtu.......DAWA YA MTU KAMA HUYU NA WEWE UNAMCHEZEA HUMWAMBII USHAOA TENA UNAMLA HADI TIGO ALAFU UNAMWAMBIA ASEPE.....
tena kavurugwa hasa
hizo hasira za soda umuone ushindwe kumchana ukejeli huku jamii forum jaman wanaume wa chipsi mayai hawa????! kwani tigo mtu analiwa bila idhini yake
unaweza uwe unataka kumuoa anakukatalia au kukusumbua eti ana mtu wake, kumbe huyo anayedai ni mtu wake hana hata nia ya kumuoa,..akishachezewa vya kutosha au kuumizwa na huyo mtu ndio anakuja kwako huku ushaoa au una mtu.......DAWA YA MTU KAMA HUYU NA WEWE UNAMCHEZEA HUMWAMBII USHAOA TENA UNAMLA HADI TIGO ALAFU UNAMWAMBIA ASEPE.....
_wanawake hua hawana shukrani,Ukikuta jamaa amampa kichapo manzi wake usimtetee huyo manzi.
-mwanamke akikasirika,kile anachokisema ndio kiko moyoni kwake,
-wanawake ni watu hatari na wenye roho mbaya sanaa,bora ukutane na simba kuliko mwanamke.
Jamaa yangu mmoja aliuawa na wanachi wenye hasira kali baada ya kukorofishana na mwanamke wake,
that day,jamaa alikwenda kwa yile she wake akimpelekea zawadi ya nguo kadhaa,baada ya kutokuelewana jamaa aliamua kuondoka na zawadi zake,
ndipo yule she alipompigia makelele ya mwizi! Manzese midizini tena,jamaa akauawa.
Mtoa thread wana majanga sana hao.