wanawake ni watu wa ajabu sana

wanawake ni watu wa ajabu sana

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
habari wana mmu.

bila kupoteza muda naenda direct kwenye mada. x
jamani sisi wanaume muda mwingine ni kama tunamatatizo. hivi kwanini gunapenda kujiaminisha kuwa kila mwanamke anapenda pesa?mimi nilichogundua si kila mwanamke anataka mwanaume mwenye pesa bali lipo kundi la wanawake ambao wao wanaangalia huyu mwanaume ana nini, yaani wats behind you.
Hapa namaanisha unakuta mwanaume unahela show unapiga fresh lakin mwanamke akaenda kumpenda mtu mwingine kabisa tena ambaye umemzidi kipato mara 10000,sasa unakuta baby wako kabebika kwa jamaa tena mlugaluga tu. lakini sasa ukichunguza kwa makini unakuta huyu mlugaluga anakubalika sana kwenye jamii kutokana na kile kitu anachokifanya kina mchango gani kwenye jamii.
kwa mfano, nasisitiza kwa mfano umegundua baby wako anachepuka na harmorapa lakini huyu hamorapa hana pesa kuliko wewe. sasa hapa mtoto wa kike anaamua kuchepuka na harmorapa kwakuwa anajulikana ni superstar,sasa baby wako atachepuka na harmorapa sababu anajua akiwa na harmorapa na yeye ataweza kutengeneza brand ya jina lake kupitia harmorapa. hapa sasa ndio sisi ambao hatujaoa tunaamua kukata tamaa ya kuoa kabisa kwakuwa mwenzetu kasalitiwa licha ya kuwa na pesa, lakin tunasahau sio mabebis wote wako after money. na sometime unakuta mwanamke ana pesa na mwanaume ana pesa lakin mwanamke akampenda mtu mwingine kabisa sabbu huyu mtu jamii inamkubali kutokana na jinsi anavyoishi.

asanteni sana
usiku mwema

naomba mniote please

Clkey
 
Sasa mkuu apo ajabu ya mwanamke iko wapi?? Me nimekuja kuangalia ajabu uliokuja nayo pengne umemkuta msupa ana k 10, kumbe hivi?? Aaaaaaàrrrgh
 
Huo mfano wako wa harmo rapper mbona ni wa kweli vile?? Yule demu wa harmo rapper alimkimbia jamaa yake akaenda kwa harmo rapper...

Ndio maana vitabu vitakatifu vikasema tuishi na wanawake kwa akili sana
 
ewaaaa wewe umenieelewa
 
Woman behaviors is very complex....utapasuka kichwa buree mkuu
 
habari wana mmu.

bila kupoteza muda naenda direct kwenye mada. x
jamani sisi wanaume muda mwingine ni kama tunamatatizo. hivi kwanini gunapenda kujiaminisha kuwa kila mwanamke anapenda pesa?mimi nilichogundua si kila mwanamke anataka mwanaume mwenye pesa bali lipo kundi la wanawake ambao wao wanaangalia huyu mwanaume ana nini, yaani wats behind you.
Hapa namaanisha unakuta mwanaume unahela show unapiga fresh lakin mwanamke akaenda kumpenda mtu mwingine kabisa tena ambaye umemzidi kipato mara 10000,sasa unakuta baby wako kabebika kwa jamaa tena mlugaluga tu. lakini sasa ukichunguza kwa makini unakuta huyu mlugaluga anakubalika sana kwenye jamii kutokana na kile kitu anachokifanya kina mchango gani kwenye jamii.
kwa mfano, nasisitiza kwa mfano umegundua baby wako anachepuka na harmorapa lakini huyu hamorapa hana pesa kuliko wewe. sasa hapa mtoto wa kike anaamua kuchepuka na harmorapa kwakuwa anajulikana ni superstar,sasa baby wako atachepuka na harmorapa sababu anajua akiwa na harmorapa na yeye ataweza kutengeneza brand ya jina lake kupitia harmorapa. hapa sasa ndio sisi ambao hatujaoa tunaamua kukata tamaa ya kuoa kabisa kwakuwa mwenzetu kasalitiwa licha ya kuwa na pesa, lakin tunasahau sio mabebis wote wako after money. na sometime unakuta mwanamke ana pesa na mwanaume ana pesa lakin mwanamke akampenda mtu mwingine kabisa sabbu huyu mtu jamii inamkubali kutokana na jinsi anavyoishi.

asanteni sana
usiku mwema

naomba mniote please

Clkey
hahahahaha mwehu kweli ww,ushafika safar yako kwanza
 
duh hamorapa, hatasiku akipotea/kupotezwa tutasema kiki
 
Back
Top Bottom