Wanawake ni viumbe wa ajabu.

Wanawake ni viumbe wa ajabu.

geniusMe

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
1,312
Reaction score
1,786
UBINAFSI
Wanawake ni watu wa ajabu sana, kama haujawai gundua watu hawa hutanguliza maslahi yao mbele kwanza iwe kwenye ndoa au mahusiano, wanawake huwa tayari amekwisha pima na kutambua kitu cha kumfanya hawepo hapo, inamaanisha kama ni uchumba ameshapiga hesabu kuona anafaidika hapo, mara nyingi sisi jinsia ya kiume tunaweza kufanya kitu alafu baadae tukaja kufikiria au ku evaluate baadae lakini hawa wenzetu huwa tayari muda mlefu walishapiga hesabu na mara nyingi hesabu hizo huwa katika standard unit ya ubinafsi yani mimi kwanza.
HISIA
Jambo moja kubwa linalowafanya wanawake kushindwa katika mipango yao ni kwamba hisia zao zinafunika uwezo wao wa utendaji na kutoa maamuzi, tofauti na mwanaume yeye hana akili ya kimazingira kuweza kupima na ku evaluate mambo kwa kasi kama mwanamke, jambo kubwa linalompa mwanaume nafasi kubwa ni uwezo wa kufanya maamuzi au kukabiliana na kikwazo
UWEZO WA KUSOMA MAZINGIRA
Mwanamke ana uweozo mkubwa sana wa kusoma mazingira na kupata kitu kwa haraka lakini mwanaume hana akili ya kusoma mazingira yanayo mzunguka na kupata cues kwa haraka mara nyingi husikia hii inaitwa women intuation ogopa sana hiyo, mfano mwanamke anaweza akaingia mahari akatambua rangi watu walizo vaa walivyokaa automatically na kubaki na details yani anaona na kukumbuka lakini mwanaume anaona basi tu hivyo imepita , lakini mwanamke anaweza hata kugundua mpangilio wa rangi mbaya au kasoro yoyote katika mazingira kwa haraka bila hata ya kufikiria details zake hubakia kichwani lakini kwa mwanaume hupita na kupotea tu.
UWEZO WA KUSIKILIZA
Mwanamke anauwezo wa kusikiliza hapa na maanisha kusikia na kupata kinachokuwa kinalengwa kutolewa, mwanaume husikiliza na kutokea upande wa pili hapa na maanisha kwamba hatupo makini katika kusikiliza mfano mwanamke anaweza kusema katika mazungumzo labda anapenda kula labda vyakula vya asili mwanaume akisikia lakini likatokea upanda wa pili , siku anatoka nae kwenye data akachagua kumpeleka sehemu wanapotoa huduma ya vyakula kama chipsi pizza na ma junk food aina yote , yale maneno ambayo mwanamke anaongea katika mazungumzo ya kawaida mwanaume huwa haelewi kabisa yani hapati ujumbe zaidi anasikia mtu anaongea tu.
UWEZO WA KUTUMIA WATU (manipulation)
Mwanamke anatambua mapema sana uwezo ambao anao na convicing power yake kuliko mwanaume na hii ndio maana hata ukikuta watoto wadogo wanacheza unaweza kuona jinsi gani mtoto wa kike anaweza kumtumia mwanaume au kum control, kafate moto wewe kachota maji wanaume fanyeni hivi kama hamtaki hamchezi hapa haya mara nyingi husemwa na wanawake, hata ukija shule na katika rika la wakubwa mwanamke anajua anao uwezo wa kumtumia mtu wa jinsi ya kiume mfano mwanamke anaweza kuwa na mpenzi mmoja katika group labda la shule , lakini akawa anawafanyisha kazi mpenzi wake na wanaume wengine ambao wanamzunguka akawa anawa control licha ya wao kujua kwamba huyo ni demu wa mshikaji lakini hufanya kazi kumfurahisha yeye licha ya kwamba wanatambua hawawezi kuwa nae.
KUPAMBANA NA SHIDA
Mwanamke ni kiumbe ambacho hakitaki shida yani matatizo na mwanamke ni vitu viwili tofauti , kitu kinachoitwa shida kwao ni mtihani mkubwa sana hawana njia ya moja kwa moja ya kupambana na matatizo wakiwa binafsi hapa hutumia vipawa vyao vya manipulation kuwatumia wanaume kufatua shida zao kwa ajiri yao.
MITINDO YA MAISHA
Mwanamke anaweza kuishi na kuvumilia hali ambayo amekulia nayo au amezoea au kuzoeshwa lakini linapokuja swala la kumshusha chini ya hapo mwanamke huumia sana na hufikia kuondoka au kukimbia kabisa , yani kama amezoea kuku bata tu jua hawezi tena kurudia dagaa na kipindi maisha yakija kuyumba ujue yuko njiani kutafuta mahali pakwenda labda kama hali kama hiyo aweamewahi kupitia katika ukuaji wake anaweza kurudi kwa ugumu sana,
UZI MLEFU NIISHIE HAPO KWA LEO
 
Mleta maada umesema ukweli mtupu Heko kwa huu uzi
 
Ndio lipi ilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ana uwezo wakuona jambo flani au kitu flani mapema hata kbl hakijatokea...uwezo huo mwanaume hana.
Mf..umerud kutoka kazini na umeongozana na rfk ako flani,lets say wa kiume,na huyo rafiki ako ni mgeni kbs kwa mkeo yaani hajawahi kumuona kbs.Baada ya mgeni kuondoka mkeo anakuambia "Mume wangu huyu rafiki ako naona km sio mtu mzuri,hebu punguza ukaribu nae,naona tu ana shida "..
 
Mwanamke ana uwezo wakuona jambo flani au kitu flani mapema hata kbl hakijatokea...uwezo huo mwanaume hana.
Mf..umerud kutoka kazini na umeongozana na rfk ako flani,lets say wa kiume,na huyo rafiki ako ni mgeni kbs kwa mkeo yaani hajawahi kumuona kbs.Baada ya mgeni kuondoka mkeo anakuambia "Mume wangu huyu rafiki ako naona km sio mtu mzuri,hebu punguza ukaribu nae,naona tu ana shida "..

[QUOTE="mark girland, post: 30447074, member: 53738

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ana uwezo wakuona jambo flani au kitu flani mapema hata kbl hakijatokea...uwezo huo mwanaume hana.
Mf..umerud kutoka kazini na umeongozana na rfk ako flani,lets say wa kiume,na huyo rafiki ako ni mgeni kbs kwa mkeo yaani hajawahi kumuona kbs.Baada ya mgeni kuondoka mkeo anakuambia "Mume wangu huyu rafiki ako naona km sio mtu mzuri,hebu punguza ukaribu nae,naona tu ana shida "..
Ni kweli wanawake wanauwezo wa kuona mbali kuliko mwanaume.

Hili mtoa mada kalisemea.

Nikiwa na rafiki namwona rafiki. Ila mke atamwangalia zaidi ya rafiki.
 
Mkuu mtoa mada umenichekesha saana hapo juu.

Mtoto wa kike kuwalazimisha wenzake wakalete kopo au maji. Tehtehteh..hawa wanawake wametumikisha saana tukiwa wadogo.
 
Aisee Mwanamke ni kiumbe hatari kabisa. Mwanamke akijitambua na kuwa ngangari anaweza akaburuza wanaume hata buku! Mwanamke mrembo ni kama chambo kwa mwanaume, tutameza tu. Mwanaume 65% ya siku huwa anawaza kuhusu Mwanamke!
 
download.jpeg
 
Mkuu kunywa Bambucha hapo ulipo nitakuja kulipa. Sijawahi andika uzi kuhusu haya lakini nimeayagundua muda mrefu sana.

Wanawake ni watu hatari sana linapokuja suala la Ubinafsi. Ni wabinafsi hujapata kuona. Akishakujua atakutumia anavyotaka for the name of love kumbe waaapi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom