Wanawake ni Nomaa!!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,943
Reaction score
9,457
Jamaa mmoja alikua anakata roho na mkewe alikua karibu nae akimuaga huku akitapatapa kwa maumivu, jamaa kuona haponi tena akamwambia mkewe. "mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa nimekufanyia, nilitembea na dada yako, mdogo wako, rafiki yako na mama yako!!" *Mkewe nae akamnong'oneza "nafahamu yote hayo ndio Maana nikakupa SUMU.!!
 
Wanawake wauwaji jamani!
mwanaume angetulia yote hayo yangetokea? na wanawake wote hawa waliojaa hivi ndio achuke dada, mdogo, mama na rafiki za mkewe!!!! kama kafanya hivi kwa mkewe huko nje si zaidi?
 
Wanawake hawana uchungu. Ni wauaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…