kwa hyo mkuu kumbe ni shoga yang
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nini maoni yako mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni wa wapi??Hivi hii hali ya Mwanamke kumuita Mwanaume 'Mwaya' imekaaje
Nyie Wanawake/watoto wa kike nini maana ya hili neno "Mwaya"?
Unakuta Mwanaume anaitwa Mwaya..hebu naombeni maana ya hili neno ili nikilisikia lisinipe mashaka
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaa kwahyo aendelee kuitikia tu
😂
Huku nilipo linatumika hadi kwa wanaume anaweza kukuita mwaya ni neno la kistaarabu ,kukuweka karibu zaidi.
Ook sawaHuku nilipo linatumika hadi kwa wanaume anaweza kukuita mwaya ni neno la kistaarabu ,kukuweka karibu zaidi.
Shukran mkuu,nimekupataAina flani ya neno linalowakilisha kubembeleza au kudekeza linatumika kwa yeyote
Kuna lingine 'mwaego/mwayego'
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha haya bhnaaHapo tatizo sio wanawake mkuu , shida ni mwanaume kuwa kufata mambo ya kike sana yaani kuwaingilia ktk mambo yao, nae kufanya tabia za umbea inafikia wakati wanawake wanakuona kama mwenzao ndo mwishowe kuitwa 'mwaya', 'mwaego'
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume kuitwa mwaya naona ni kama kuonewa huruma,au hauko comfortable flani..so anajaribu kukuweka sawa,ujiskie huru.
hhahaaha!Nimekutana na mkaka anaimba " baby niruhusu tufananeee,,huku nikiamini one day UTANIOAAAAA,"