Cryptographer
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 376
- 730
Kweli sijawahi kusikia wala kuona wanyama wanapalanganaMkuu binadam tumepewa utashi na mwenyezi mungu wa kuelewa lipi baya na lipi zuri na lipe lenye madhara na lipi halina , sasa wanyama wengine sidhan kama huo utashi wanao na kama wanao unaweza ikawa ni tofauti na sisi binadam,
Sasa sidhani kama ni sawa kufuata kila wanachofanya wanyama , kwa mfano ukiangalia wanyama wanapotaka kujamiiana sidhani kama hua wanatafuta faragha , maana hata mbele ya watu na wanyama wengi hupeana tu mgegedo na pia hata kwa upande wa wanyama hata mzazi pia anaweze pewa mgegedo na mtoto ,
Sema pia kuna mambo mengine binadam hua tunafanya nahisi hata wanyama hua wanatushangaa kama sisi tnavyowashangaa wao , kwa mfano kuzibua mitaro (kinyume na maumbile) nahisi hapa wanyama hua wanatushangaa aisee , ilakuawaje mtu anazibua mitaro na harufu yote ile .