Wanawake, ni kweli huwa mnafurahia mpenzi anapozama chumvini au wanaume wanajipendekeza na kuwasumbua tu?

44mg44

JF-Expert Member
Jun 16, 2019
2,135
2,139
Wanawake nawakaribisha mjibu hili swali il muwatoe wanaume wengi ambao wapo njia panda juu ya jambo hili.

Maana kuna wanaume huwa wanajisfia kuwa wakizama chumvini huwa wanawapa raha je ni kweli?

Kama mtasema ni kweli wanaume wote watahamasika kufanya hvyo ili wawaridhishe wapenzi wao, ila kama sio kweli basi wanaume wenye mtindo huu waache kabisa!

Karibuni wanawake.
 
Kama msichana anakupenda kweli lazima atakukataza usizame chumvini ila kama li demu linataka uangamie yaan ufe kifalaaa basi atakuruhusu uzame chumvini.

Chumvini ni hatari kwa koo la mwanaume .. yaannlile shimo jiulize lina tema uchafu kila mwezi halafu wewe unaenda kuegesha ka ulimi kako pale lazima UFE
 
Kuwa makini na kansa ya koo, K huwa inavirus wanaoishi humo na hawana madhara kwa hiyo kitu, sasa wakikuingia mdomoni baada ya miaka kadhaa utajuta
Hii maada haihusu madhara yake na wewe fungua uzi wako wa kuongelea madhara yake!!! Kwani kugegeda hakuna madhara? Mbona yapo lakini unaendelea kugegeda tu!?? Kama hutaki madhara ya k acha kabisa kugegeda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom