Wanawake, ni kweli huwa mnafurahia mpenzi anapozama chumvini au wanaume wanajipendekeza na kuwasumbua tu?

Kijana, ni kweli kabisa ulivosema, kama pia unapenda kufanya ivo kwa mwenza wako ila umeona ni risk sana bas fanya kununua vimfuko vile vyepesi sana hua madukan wanatumia kuwekea unga na sukari, nunua alafu kua unakata upande mmoja tuu kata hata pisi10 kwa mifuko mi5 maan mfuko mmoja unatoka vipande viwili, ukimaliza viweke pembeni karibu na kitanda ndo utakua unatumia kuweka juu ya uke wa mwenza wako kila ukihitaji kumfanyia oral sex bila madhara yoyote na mtaenjoy sana maana utaweza kufanya muda mrefu sana sababu haina kero yoyote na sensitivities ni ile ile kwa mwenza wako.

ILA HII NJIA TUMIA KWA MKE WAKO KIPENZ SI WENGINE MI TULIKAA TUKAAFIKIANA NA WIFE NDANI KUA TUIJARIBU NA TUKAPENDA ZAIDI MAANA NI SALAMA ila ukiifanya kwa hawa wengine wanaweza hisi labda wanakasoro kwenye sehem zao za uzazi kumbe ni hapana, kwaiyo watajiskia vibaya ila kwa wife mkiongea mkaelewana na mkajaribu utajua namaanisha nini.
We unaona hii inawezekana kweli?
 
Kama msichana anakupenda kweli lazima atakukataza usizame chumvini ila kama li demu linataka uangamie yaan ufe kifalaaa basi atakuruhusu uzame chumvini.

Chumvini ni hatari kwa koo la mwanaume .. yaannlile shimo jiulize lina tema uchafu kila mwezi halafu wewe unaenda kuegesha ka ulimi kako pale lazima UFE
Yaani! Mh! Kuna watu wana roho ngumu sana penyewe pamekaa kama likidonda flani hivi kibogoyo mtu anaenda anaogelea hapoweee mpaka anatoka na mipovu utadhani paka katoka kwenye bakuli la maziwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mdomo huuhuu ni muombee Mungu anilinde na maswaibu ya dunia, huuhuu nalia chakula, huuhuu nasalimia wazazi, huuhuu naombea kazi tena huuhuu nikalambie mbususu aisee! Kama ni ushamba utanifaa na kama ni ujanja pia utanifaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba ni mtazamo hapana, practicality nafanya kwa iyo njia, jaribu utaona nachomaanisha.
Mpenzi wako anakuona wa ajabu sana
Siyo jambo la lazima kiasi hicho
Lakini kushawishi mtu mwingine kufanya hivi ni kipengele
 
Kuna madhara uliyapata pind unawanyonya mkuu??

Sitopenda kuweka ilo wazi boss ila sio salama kabisa kufanya oral sex na mtu usie mfahamu vizuri na asie msafi wa mwili na roho, raha ila siku ikishaleta madhara ni majuto na machozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom