mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Mmmh,ndugu hizi experiment zako zinatisha,yaani mwanamke anafanana na pesa kweli?Pesa huwa tunazitafuta kwa nguvu na uwezo wetu wote,na hata tukizikosa hatuchoki zitafuta,lakini mwanamke akileta pozi unaachana nae unasaka mwingine,Jee,unaweza susa kutafuta pesa?au unataka kusema kuwa ukiwa na mwanamke unauwezo wa kupata kila hitaji lako?They are not like money,na kuhusu kupenda watu ambao tayari wanamahusiano na wengine,hii ni njaa za akina dada wa siku hizi tuu, hawako na wala hawata kuwasawa na pesa hata siku moja!!wanasema pesa humfuata mwenye pesa..
huwezi kupata pesa nyingi bila kuwa na pesa japo kidogo sio...
mimi katika experience yangu naona na wanawake
hivyohivyo....
ukiwa single mda mrefu inakuwa ngumu
kupata mwanamke....
but ukiwa kwenye relationship na mwanamke mmoja...
ndo kama umewaambia vile....wakufuate.
utashangaa wanavyokuwa easy kwako....
yaani ukitaka kupata bahati ya wanawake..
kwanza chukua mmoja....
sijui ni nini but wanawake huwa wanapenda mwanaume
mwenye mwanamke tayari...i mean hata kama hajui
kama unae....atavutiwa tu na wewe...
but kama upo single ni tofauti....
wanaume wote waliooa,huwa wanashangaa kuona
bahati zao zinaongezeka baada ya kuoa...
mimi niliwahi kukaa single kwa miezi mitatu.....
nilipoanza kutafuta mwanamke wa kunifaa
nilisumbuka wiki tatu....
nilipompata niliemtaka.one week later nilikuwa
nina wengine kama wanne wako pending....wananisikilizia
women bana....
Unaanza kutoa siri! au kwa vile ulivyoondoka nilikuwa bado nimelala?Nisamehe bac.nmwaaaaaaa!
Hehehe! Nnmweeeeee!
Zion daughter u've to get on board coz Zion train is comming on your way,Are you engaged?how many of them came after u?are you afraid?there is nothing to regret about it,coz it is the way it is,lazima iwe hivyo,kama mbwa akipendavyo kinywa cha chatu!!U said it well!
Wanaume ndio wamezidi kabisaaaaaaaaa.Wakiona mtu engaged tayari ndio wanamuona mzuri wakati yupo single walikuwa hawamuoni.Hovyo!
sijui ni nini but wanawake huwa wanapenda mwanaume
mwenye mwanamke tayari...i mean hata kama hajui
kama unae....atavutiwa tu na wewe...
but kama upo single ni tofauti....
wanaume wote waliooa,huwa wanashangaa kuona
bahati zao zinaongezeka baada ya kuoa...
kama nina mama kjjn na nahitaji kuongea nae je? halafu hawa wanawake wakuomba vitu kama credoo nao khaa, natamani niwape semina wawe wanawabomu viwanja na magari...
Hebu jaribu kuwa na demu aliyeolewa au ana Mchumba halafu akuambie kuwa ameachika utakavyoruka kimanga. Hata simu yake utakuwa hupokei maaana utajua kuwa mzigo wote utakuwa kwako. Hata demu nae anajua kuwa ukiwa na mke au mchumba huwezi kumbana sana- anakuwa huru kidogo kutoka kwenye kibano
The boss uchunguzi wako unatisha kama mvua za elnino
lakini nadhani kama ni kweli kwa upande wa wanawake basi iko pande zote ..
Kwani hata nyie wanaume mkiona tu tayari fulani kamilikiwa mtajileta kwa kasi ya ajabu huku mkidai kama ningewahi mie jamani ungewkuwa my wife sijui kwa nini nimechelewa mie , kama vile ulivyokuwa single hakukuona hahahah
Kwa mtindo huu ndio maana ukimwi hauishiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!
mimi niliwahi kukaa single kwa miezi mitatu.....
Nilipoanza kutafuta mwanamke wa kunifaa
nilisumbuka wiki tatu....
Nilipompata niliemtaka.one week later nilikuwa
nina wengine kama wanne wako pending....wananisikilizia
women bana....
Mkuu hao ambao wako pending vipi?
hii inakua kwa wanaume walio na wapenzi, kuna kujiamini fulani kunakuwepo ukiwa na wanawake{hii inamanisha ukiwa na mwanamke halafu hujiamini hata hao wa nje hawatokupenda},lingine suala la kummiliki mwenza wako,hivyo hata mwingine atavutiwa na wewe kwa ajili unajua thamani ya mwanamke,lingine ni ukiwa uzitaki pesa sio rahisi ukazipata kwa wingi ila ukijiweka katika mazingira ya kutaka pesa utazipata kwa wingi{labda mungu aamue lingine}nachoongelea hapa ni ile hali ya mtu kujiweka katika hali ya kuhitajika na kitu fulani. Upande wa wanawake hapa ndo utakuta wanaume wenye kupenda vitu ambavyo tayari vimeundwa,wanapenda pale mwanamke anapopendeza tu,sababu nyingine ni kujiuliza uliza tu, aahhh fulani kanogewa nini pale? Ngoja nione,ingine mwanamke anaweza kuonekana mgumu lakini mmoja akimpata wengine wanafikiria ahhhha kumbe anatongozeka, hizo ni baadhi ya sababu ambazo hadi sasa ndo naziona ila maoni yanakaribishwa
Ni kweli kuna jamaa amespeshalaizi na wake wa watu au wale wenye wanaume zao, hachukuwi msichana kama hana bwana binafsi hunishangaza sijuwi anatumia chambo cha aina gani kuwaopowa?