cjui zinawatoshaga ngapi coz mie mambo ya credo najihudumia mwenyewe kutokana na mawasiliano yangu yalivyo, sasa hiyo buku kwa kweli mhh, haya ndio mnawa2mia hiyo buku then mnalalama kwamba mna2ma lakini hawawacal, sasa utamcal vipi m2 na credo ya buku na c ajabu yeye alivyokuomba ana mawacliano yake ya muhimu na wa2 wengine...ahh
kama mr/mchumba ananihudumia nitakavyo kwanini nishawishike na wewe muharibifu? mana huna lingine zaidi ya kuniharibia, na najiulizaga jamani hao wanawake wenu mnawapatiaga wapi jamani? mbona wapo kama hawajitambui kabisa.
Wale wa uswahili hata credo ya 500 ukimrushia rushia mara kadhaa wanamegeka unakuja kwa bwashee anapiga kiepe jike na Njiwa then pilipili kwa wiiiiiingi na kachumbali kisha akatelemshia na Banta dah cost haizidi 5000/= mwanamke hapo atazidisha pendo mara dufu kwa hiyo nyumba ndogo. Haya mambo nayashuhudia sana kwenye sehemu nako patia Ndovu
kama mr/mchumba ananihudumia nitakavyo kwanini nishawishike na wewe muharibifu? mana huna lingine zaidi ya kuniharibia, na najiulizaga jamani hao wanawake wenu mnawapatiaga wapi jamani? mbona wapo kama hawajitambui kabisa.
'[/COLOR]
Hilo ndo swali la hii topic jamaa kauliza!! kwa nn mnatupenda pindi tunapokua tumeoa?
mhhh, kazi ipo.
sasa hao watu si wamtumie, au wamcall??cjui zinawatoshaga ngapi coz mie mambo ya credo najihudumia mwenyewe kutokana na mawasiliano yangu yalivyo, sasa hiyo buku kwa kweli mhh, haya ndio mnawa2mia hiyo buku then mnalalama kwamba mna2ma lakini hawawacal, sasa utamcal vipi m2 na credo ya buku na c ajabu yeye alivyokuomba ana mawacliano yake ya muhimu na wa2 wengine...ahh
Mechi za mchangani zina raha zake. Unapata experience unahamishia home, ndoa inapata uimara zaidi. Vululu vululu!
ZD si waharibifu!!! ndo zao wanataka kutafuniwa wameze tu sasa imekula kwenu
ZD, lilyflower FL Pretty mwendo wetu ule ule....lets do our bit!!
Kuna huduma zaidi ya huduma. Mechi za mchangani zina raha zake. Unapata experience unahamishia home, ndoa inapata uimara zaidi. Vululu vululu!
sasa hao watu si wamtumie, au wamcall??
Women bana!!!!!.
Tunayaona haya ni kweli na yanatokea mke wa mtu analewa kwa credo ya 500 na viepe.
eeh kumbe ndio sababu hiyo? mbona mie ma expeience na share nae na cyapati huko mnakokusemea?....experience ni utundu wako tu katika hiyo game bana hakuna lingine.
sasa hao watu si wamtumie, au wamcall??
Women bana!!!!!.
Hahaha! Umesahau na Banta baridi moja! Hahaha! Gharama ndogo, huduma kubwa.
'
gumu kwangu, mr akilewa nitamuhoji!...lol
Hahahaha jana ulipo ondoka kuna Babu alisogeza katoto kadogo ni kama mjukuu wake hahahaha kanaletewa Ndovu babu pale alikuwa anakwepa gharama alafu anapewa huduma kubwa.
Tunayaona haya ni kweli na yanatokea mke wa mtu analewa kwa credo ya 500 na viepe.
Ivi unategemea Mdada aseme ukweli wa hii kitu? kila mtu ukimuuliza atajibu kama wewe!! hiii ni siri moyoni bana!!eeh kumbe ndio sababu hiyo? mbona mie ma expeience na share nae na cyapati huko mnakokusemea?....experience ni utundu wako tu katika hiyo game bana hakuna lingine.
Ivi unategemea Mdada aseme ukweli wa hii kitu? kila mtu ukimuuliza atajibu kama wewe!! hiii ni siri moyoni bana!!