Wanawake ni jeuri sana

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Habari wana MMU nadhani wote mko poa sana na mnaendelea kusukuma gurudumu hili ya maisha vema.
Leo nimeamua kuwajulisha wanaume wenzangu kuwa makini na wanawa kawa.Mchezo huu mchafu upo sana huko kenya nahofia unaweza kuzaa gaa sana hapa dar maana nilijionea mwenyewe nilipo kuwa kule mombasa kenya .Anakuja mdada anajiongelesha na kukuzoea ghafla anajifanya "anakuhag" Kumbe mkono mwingine anaingiza kwenye mfuko wako wa

nyuma nakuibia pesa na mzigo hupati mzee so huko kenya ni common sana mchezo huu



 
ungesema machangudoa, mamako kamhug nani.na kumwibia?
 
Jeuri au wabunifu???!!

Mtu hamjuani unakubali vipi aku hug?????!!!
Bora akuibie aende kuliko awe chizi akung'ate sikio aende nalo!!!!
 
warembo wengi wana njaa acha tu mkuu,vipodozi vya gharama lakini kulala njaa,kwenye hostel hujawahi sikia warembo wanadundana kwa hata uwizi wa pichu ili akikutane na majamaa huko aonekane tu kapendeza
 
we si umechagua kushka ta.k.o naye kachagua kushika wallet kwan tatizo li wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…