bado sijakuelewa mtoa uzii unataka ushauri/unataka maoni/unataka maswali/unafanya utafiti/
mawazo ya nini unataka wakati umeshaprove.
Ninachomaanisha ni kwamba mie ndo nasikia joto ama na nyie wenzangu?
Yani nna kiu, koo limekauka, hela sina.... natamani castle lite ya baridiiii
mwenye buku ten naomba anikopeshe!!!
Yani nna kiu, koo limekauka, hela sina.... natamani castle lite ya baridiiii
mwenye buku ten naomba anikopeshe!!!
Utakayopanga tu ilimradi mi ninywe kwakweli...riba kiasi gani??
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Yani nna kiu, koo limekauka, hela sina.... natamani castle lite ya baridiiii
mwenye buku ten naomba anikopeshe!!!
Kwa nini ipate shida mtt wa kike?
Salio lako jipya ni Tsh.100,000. Umepokea Tsh 100,000 kutoka kwa Kichoi
Nachekaaaa sana hati niniJoto la binasamu ni 36.6'C. Hizo ni hisia zako tu. labda utakuwa unapakia wagonjwa wa homa ya dengue!
iyoe Kichoi?
Wanawake ni hatari sana maana wana joto kali sana kuliko wanaume kiasi kwamba hata kama mvua imenyesha ni rahisi sana mwanamke kumuondolea mwanaume joto wakilala pamoja kwa kukumbatiana hata kama hawafanyi tendo. Mwanamke hata kama umembeba kwenye pikipiki akiwa amekaa kiume yaani joto lake utalisikia tu. Mimi nimewahi kubeba wanawake mbalimbali wadogo kwa wakubwa ni joto mtindo mmoja. Nimekuja kushangaa leo nilipombeba mwanamke mzee akiwa amekaa kiume kuona ana joto kali sana nikaamini kuwa mbele ya joto hamna cha mzee kwa upande wa mwanamke. Sijui hili naliona mimi mwenyewe ama na wenzangu mnaliona hili? Naomba mawazo yenu tafadhali.
Eeh ngilemie tusu!
Pole shosti...Leo nipo full time home ningekuwa nipo maeneo yangu ningekuita...