asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
View attachment 121356
Nikiona wanawake wakiwa na hii hali huwa nawahurumia sana sijui huwa wanapata shida lakini utashangaaa wanazurula kama nini wakati ukimwangalia anapata shida kweli ni zaidi ya kitambi kwa wanaume
mimi huwa nikiwaona hivyo halafu ni wasafi huku wametupia zile gauni zao fupi fupi i find them very sexy in did.........