From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,827
Mwanaume, kataa majukumu ambayo sio yako. Kataa majukumu ya baba yake.
Mwanaume kataa kutumikishwa kingono. Kataa!!!!
Mwanaume kataa kutumikishwa kingono. Kataa!!!!
Sure!No free lunch under the sun
Hili neno linapunguza tu makali ila mdangaji ni malaya kwa lugha nyepesi... sasa ww unaweza kumuoa malaya?Tatizo la wadangaji ni kuwa unapomuonyesha kuwa unalengo la kuoa, au umempenda kweli . Yeye ndio anaona ni mwanya wa kukukamua wallet yako.
Sasa sijui wanashindwa kutofautisha mtu anaetaka sex tu na anaetaka ndoa...?
Nilikuwa na wa hivyo, nilitaka kumuoa lakin everytime nikumuonyesha kumpenda napigwa mabomu ya vietnam. Ilibidi nimuweke pemben na nikampa makav yake kwa tabia yake mbovu.
Baby shark tunturu tutu baby Shark tunturututuJoni jonii yes papaa eating sugar no papaa,.open yua mouth 😂😂😂😂😂😂😂
Hili neno linapunguza tu makali ila mdangaji ni malaya kwa lugha nyepesi... sasa ww unaweza kumuoa malaya?
Tumefundishwa na wanaume wenye pesa
Bro kabla haujajipanga kuoa use " eat and run system " wanadanga hadi kero unadangwa kiasi kinachozidi hata matumizi yako ya wiki ....kwa hali hii watazaa sana na kubaki makwaoNow it's too much yaani unataka mchumba kweli unampata mtoto anatoka sehemu nzuri kwao wanajiweza baba ake ni kigogo au demu anajiweza anafanya kazi yake sehemu lakini bado demu atataka akudange.
Nani huyo aliyewaruhusu huu upumbavu kwamba kawadangeni wanaume? Hiyo style yenu me sikubali; sio kweli tena hamuoni hata aibu.
Au nasema uwongo wanaume wenzangu? Ni mimi peke yangu ndo nawapata wanaonigeuza mradi?
Siku hizi mpaka tunawaogopa wanawake kwa sababu unamtongoza hata siku mbili hazipiti kashaanza kupanga mashambulizi ya kukudanga. Mnasababisha mpaka wale wanawake wasio na hio tabia kukosa wanaume kwa sababu imefika muda wote tunawachukulia mpo hivyo.
Mnakera sana, ina maana hamuoni kama maisha magumu siku hizi?
Tatizo la wadangaji ni kuwa unapomuonyesha kuwa unalengo la kuoa, au umempenda kweli . Yeye ndio anaona ni mwanya wa kukukamua wallet yako.
Sasa sijui wanashindwa kutofautisha mtu anaetaka sex tu na anaetaka ndoa...?
Nilikuwa na wa hivyo, nilitaka kumuoa lakin everytime nikumuonyesha kumpenda napigwa mabomu ya vietnam. Ilibidi nimuweke pemben na nikampa makav yake kwa tabia yake mbovu.
Huwa hawaolewi wanakuwa wameathirika kisaikolojia;ukilazimisha kuoa tu jiandae kwa msongo wa mawazo.Tatizo la wadangaji ni kuwa unapomuonyesha kuwa unalengo la kuoa, au umempenda kweli . Yeye ndio anaona ni mwanya wa kukukamua wallet yako.
Sasa sijui wanashindwa kutofautisha mtu anaetaka sex tu na anaetaka ndoa...?
Nilikuwa na wa hivyo, nilitaka kumuoa lakin everytime nikumuonyesha kumpenda napigwa mabomu ya vietnam. Ilibidi nimuweke pemben na nikampa makav yake kwa tabia yake mbovu.
I love my John.... Haya chacha...!!Joni jonii yes papaa eating sugar no papaa,.open yua mouth [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Do you see ma johnnyy...question??selebobooI love my John.... Haya chacha...!!
uko sahihi mkuuKudanga ni sawa ni jina lingine la kujiuza/uchangudoa/udada poa???