Wanawake, nani alisema dera ni nguo ya heshima?

choupa moting

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,508
2,556
Habarini za weekend ndugu zangu na polen na maisha ya Tanzania.

Back to the topic, naomba kujuzwa hivi kwanini nguo aina za madera ambayo huvaliwa na wakina mama au wakina dada yamechukuliwa kama nguo ya heshima?

rehemah0_BksY87GArsH.jpg


Utakuta mmama mtu mzima tena mungu kamjaalia mashallah kavaa dera then huo "mvumo wa radi" anaoachia huko nyuma ni balaa.

yanga_girl__BlQvTbMhc6m.jpg


Nimeona hii mara nyingi mpaka najiuliza kwanini iwe hivi. Hizi nguo kiasili yake ni nyepesi na kwa namna wanavyozivaa hadithi zinakuwa zingne sana mtaani.

Vikohozi haviwezi kuisha kabisa. Nadhani kwa muda huu kuna wakina dada wa JF wamevaa dera. Hebu tuambie; kwanini mnazipenda ilhali haziwapi stara mnayotarajia?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom