Hata Mimi, nimekuwa nikijiuliza sana, hivi weupe una nini? Utakufa mwanamke ni mbaya tu wa sura, kisa mwupe peeee utakuta wanaume wanapishana kila Siku. Jamani wakaka ebu tujuzeni kwani huwa mnachanganyikiwa nini?
black is beauty kwangu mm.........wakaka weusi au maji ya kunde wanavutia kuliko wale ma white bwana (kwa wadada si jui yupi anavutia black or white)........... ila asikuambie mtu kitu cha hebu jitokeze simama mbele za watuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu