Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,939
- 67,458
Ndio ila mahusiano ya mbali yana ulakini ngoja tuone mtoto akizaliwaUna Uhakika mimba aliyobeba yako?
Ila wewe jaa
Labda maana usipo pokea simu nikipiga akipokea naanza na samahana pleas nyingi mm nafanya ivyo sitak aangue kilio matokeo yake ana lia mnaanza kubembelezana mpaka kuna mda aongei nashikwa na hasira natamani kumpasua pasua najuta mimiAnakufanyia kusudi tu pengine anajua unamcare sana
Muulize ngabu kama na wazungu WAKO HIVYo basi ni kweli samia analia zaidi ya mkeoHivi mimba zote ndio zilivyo hivi mtu ana lia bila sababu una bembeleza mpaka una pata hasira una amua kwenda mbali ukirudi tu ana weza kukuuliza swali wewe uka mjibu vizuri
Lakini aka angua kilio kikubwa kichwa kinauma aseee bora now nipo mbali lakini ana weza kukupigia simu ana lia tu sababu za kijinga mpaka ukiona simu yake utamani kupokea
Ee Mungu nini hiki 😣
Evelyn Salt
Samahani ya nini mzee mwanaume hutakiwi ujieleze sana, unamwambia tu nilikuwa na kazi nafanya mengine hayamuhusu inaonekana umemuendekeza unataka uonekane gentleman, itakukosti big time bro.Labda maana usipo pokea simu nikipiga akipokea naanza na samahana pleas nyingi mm nafanya ivyo sitak aangue kilio matokeo yake ana lia mnaanza kubembelezana mpaka kuna mda aongei nashikwa na hasira natamani kumpasua pasua najuta mimi
MuiteMuulize ngabu kama na wazungu WAKO HIVYo basi ni kweli samia analia zaidi ya mkeo
No ukimjibu short ana lia sana yaan ina kuwa kero kuepusha kero naamua kujishusha ndio najiuliza mimba zote ndio zina kuwaga hivi auSamahani ya nini mzee mwanaume hutakiwi ujieleze sana, unamwambia tu nilikuwa na kazi nafanya mengine hayamuhusu inaonekana umemuendekeza unataka uonekane gentleman, itakukosti big time bro.
Huyo mwanamke wako wa ngapi bro, kamwe usiamini machozi ya mwanamke hasa kama hapo ameshajua akijiliza kidogo unaingia kwenye mtego wake, ana kukumanipulate kidogo kidogo namna hiyoNo ukimjibu short ana lia sana yaan ina kuwa kero kuepusha kero naamua kujishusha ndio najiuliza mimba zote ndio zina kuwaga hivi au
Dah kweli ngoja nijaribu kuwa kauzu sasa huu upumbavuHuyo mwanamke wako wa ngapi bro, kamwe usiamini machozi ya mwanamke hasa kama hapo ameshajua akijiliza kidogo unaingia kwenye mtego wake, ana kukumanipulate kidogo kidogo namna hiyo
Ila wazungu hawapo hivyo ni uku kwetu maigizo mengi
Sikia next tyme akianza kujiliza mwambie mwambie baadae ukimaliza kulia utanicheki kata simu kausha, na usimcheki pengine unampenda sana na hili linaweza kuwa gumu kwako lakini jitahidi ufanye, kwenye mapenzi kuna nguvu ya upendo, anaependa sana anakosa nguvu na anayependa kidogo ndo anakuwa na nguvu, kwa kesi yako wewe inaonekana wewe ndo unampenda sana so huna nguvu kwake unataka kila kitu umplease afurahi duh mambo mengi kuandika sio kweli sema ujue wanawake sio wazuri kuwa na nguvu lazima atakusumbuaDah kweli ngoja nijaribu kuwa kauzu sasa huu upumbavu
Kesho nitalifanyia kaziSikia next tyme akianza kujiliza mwambie mwambie baadae ukimaliza kulia utanicheki kata simu kausha, na usimcheki pengine unampenda sana na hili linaweza kuwa gumu kwako lakini jitahidi ufanye, kwenye mapenzi kuna nguvu ya upendo, anaependa sana anakosa nguvu na anayependa kidogo ndo anakuwa na nguvu, kwa kesi yako wewe inaonekana wewe ndo unampenda sana so huna nguvu kwake unataka kila kitu umplease afurahi duh mambo mengi kuandika sio kweli sema ujue wanawake sio wazuri kuwa na nguvu lazima atakusumbua