Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,206
Kuna wanaume hamjielewi kabisa sio kila unayemuona katika dating application anahitaji ngono !! No ...wengine tupo kwa ajili ya kuchati na marafiki zetu
....HALAFU NIKUSAIDIE SASA HIVI HAKUNA MWANAMKE ALIYE RAHISI KAMA UNAVYODHANI
Halafu sio razima ndio maana mnatukanwa na kublack list hamjielewi hivyo visent vyenu tumia kumtumia mama yako !!![]()
yaani unachat na rafiki kwenye dating site huo ushamba umeutoa wapi ndo maana mitandao ya kuchat ipo we utakuwa msu-kumaaa nini



hatar