Wanawake na sms

Wanawake na sms

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,928
Demu wangu aliniambia baby nimeishiwa sms na hii ndo ya mwisho kwako uck mwema my mwaaaaa mimi sipendagi ujinga nikamuuliza tena baby ile laki moja nitume kwenye namba ipi......?sekunde tano nyingi akajibu fasta baby jamani nitumie kwenye namba hii ya tigo.sitakagi ujinga mimi nikamuuliza tena jina nan baby??.fasta tu akajibu nasra jumanikamwambia baby tayari umeiona hiyo helaakajibu mbona hamna bbaby jamani nikamwambia sipendagi ujinga mimi nilitaka kujua tu kama kweli sms zako ziliisha kweli akajibu fyuuuu lione kwanza*_
 
Mademu wa kizamani hao ,demu wa sasa mnaendelea kuchati na akiamua kukupiga kizinga uchomoi.
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Ndivyo walivyo wezetu hapo alitaka ujiongezee umnunulie vocha wanawake nyie mungu anawaona
 
Afu wanajihami ukiwasema wanakimbilia kujilinganisha na mama zetu
shenzi kweliii
 
Back
Top Bottom