wewe erotika unataka niachwe mie mimi nikiwa home sipokeagi cm hata mmja zaidi ya mume wangu na akiona sipokei anapiga za nyumbani mpaka anipate ninaju muda anaonipigia wengine wakipiga ntawapigia bdae.ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu
spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,
wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha
nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.
kweli erotica sina wa kuniuliza hata....ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu
spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,
wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha
nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.
tukiwa nyumban mara nying tunakuwa bze na pilika za jikon,chumban na simju labda uliiacha pale kwenye koch
vs
nyie ata km mkiwa home mnapokea mkiamaliza mnatumbukiza mfukon sasa mimi nimevaa dela lisilokuwa na mfuko so mara nyng naisahau pale nilipokuwa
simu twaweka kwa pochi na kwenye poch kuna makorokocho mengi so ukipiga naweza nsiskie.....but nyinyi amwek simu sehemu km izo
ukiona mwanamke ana treat simu ya mkononi kama mezani, ina mana hakuna mtu
spesheli katika maisha yake kwa kipindi hicho. kama yupo hana mshiko. ila kama kweli yupo aisee simu inakuwa bega kwa bega,
wakati wa shughuli kama kufua or kupika unaibana kwenye sidiria or unahakikisha
nguo ina mfuko. teh teh teh. but kama hayupo usiku unalala simu iko sebuleni.
Wanawake mna matatizo gani na simu za mkononi? Kwanini mnazigeuza kuwa simu za mezani.
Hii haina cha mwanamke msomi na mbumbumbu, mfanyakazi na mkulima/mfanyabiashara, mbinti na mmama, mkurugenzi na mhudumu, waziri na mfagizi: Mradi ni mwanamke kwao simu ya mkononi ni ya mezani.
Ole wetu tuchelewe kupokea simu zao! Tunakutana na maswali mengi sana. Oh mara ulikuwa wapi hupokei simu, Oh ulikuwa na nani? Ni kasheshe iwe nyumbani-chumbani au katika nyumba za wageni au ufukweni. Ni full Kasheshe!
Lakini kwao simu ya mkononi ni ya mezani. Na hujitetea sana ukiwabana kwanini hawakupokea mapema.
Nauliza tena ni KWANINI KWAO SIMU YA MKONONI NI YA MEZANI?
Bazazi ni Bazazi!
sipendi kumpa mtu no yangu maana lazima anichukie..
tukiwa nyumban mara nying tunakuwa bze na pilika za jikon,chumban na simju labda uliiacha pale kwenye koch
vs
nyie ata km mkiwa home mnapokea mkiamaliza mnatumbukiza mfukon sasa mimi nimevaa dela lisilokuwa na mfuko so mara nyng naisahau pale nilipokuwa
simu twaweka kwa pochi na kwenye poch kuna makorokocho mengi so ukipiga naweza nsiskie.....but nyinyi amwek simu sehemu km izo
Tatizo ni kupokea simu au? kama ni cheater ni cheater tu watu wanapokea simu wakiwa na kilo 100 juu ya viuno vyao sembuse nini?