Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Jan 14, 2018 #21 Money Penny said: NIANDIKIE THREAD KAMA ULIVYOFANYA CHIT CHAT BRUH! AU NIGAWE KWA MKUU Click to expand... Naomba uje PM tuongee vizuri
Money Penny said: NIANDIKIE THREAD KAMA ULIVYOFANYA CHIT CHAT BRUH! AU NIGAWE KWA MKUU Click to expand... Naomba uje PM tuongee vizuri
ramadhan Mwesongo Member Joined Mar 23, 2017 Posts 56 Reaction score 24 Jan 17, 2018 #22 Demiss said: Siji Nitumie nauli hun Click to expand... Mara hoo sorry baby nauli ulontumia nimeitumia kununua luku ntumie tena nije
Demiss said: Siji Nitumie nauli hun Click to expand... Mara hoo sorry baby nauli ulontumia nimeitumia kununua luku ntumie tena nije
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,735 Reaction score 76,363 Jan 17, 2018 #23 Money Penny said: uje na huku SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?... Story: Money Penny ni nani lakini?! Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili.... uje na huku SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?... Story: Money Penny ni nani lakini?! Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili.... Click to expand... We itakuwa unataka kupakuliwa sio bure
Money Penny said: uje na huku SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?... Story: Money Penny ni nani lakini?! Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili.... uje na huku SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?... Story: Money Penny ni nani lakini?! Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili.... Click to expand... We itakuwa unataka kupakuliwa sio bure
kitororondo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2018 Posts 597 Reaction score 710 Jan 17, 2018 #24 Red Scorpion said: Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao. Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango. Click to expand... nauli huwa wanakuwa nazo sema washazoea kuomba omba
Red Scorpion said: Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao. Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango. Click to expand... nauli huwa wanakuwa nazo sema washazoea kuomba omba
Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,181 Reaction score 1,494 Jan 17, 2018 #25 Red Scorpion said: Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao. Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango. Click to expand...
Red Scorpion said: Wanawake Wengi kwa kawaida hawana hela ya nauli kwenda kwa wanaume wao. Lakini wakati akihisi upo na mwanamke mwingine mimi huwa sijui wanatoa wapi nauli utasikia tu anagonga mlango. Click to expand...
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 Jan 22, 2018 Thread starter #26 ramadhan Mwesongo said: Mara hoo sorry baby nauli ulontumia nimeitumia kununua luku ntumie tena nije Click to expand... Haaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaa acha nicheke imenikuta J5 iliyopita!
ramadhan Mwesongo said: Mara hoo sorry baby nauli ulontumia nimeitumia kununua luku ntumie tena nije Click to expand... Haaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaa acha nicheke imenikuta J5 iliyopita!