Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,457
- 11,337
Acha ujinga....maisha yamebadirika Sasa ila wewe bado una akili za zamani.mwanamke hajaumbwa kuprovide, sisi no mbuzi wa kafara
kama hutaki kukubali nnachosema sikulazimish πAcha ujinga....maisha yamebadirika Sasa ila wewe bado una akili za zamani.
Ji update bro
soma uzi uelewemwanamke hajaumbwa kuprovide, sisi no mbuzi wa kafara
sweeryHabari wakuu!
Siku hz unakuta wanasema haki sawa ktk njanja zote. Sasa ktk familia unakuta mwanaume ana kazi isiyo ya kudumu yan tenda na mke amebahatika kupata kakazi ka maana lakn utakuta mwanamke anaomba hela ya matumizi kwa mumewe wakat anajua kwamba hana hela sometimes na akinyimwa lawama nyingi.
Kwa upande wangu ni kwamba zaman kdg ilikua ni kwasabab mwanamke hana kaz lakini ck hz lijit lina kaz bd utaskia, 'naomba pesa ya kusuka.'
Na anajua mumewe hana hiyo pesa, yani mwanaume apambane kula ya familia,apambane kusomesha watoto, apambane kuwapa mahitaj muhimu bado ampe m2 hela ya kusuka wkt yeye ana hy hela.
Duuh iv hz pesa zao huenda wapi? Huu ni mtazamo wangu. Nawasilisha?
Daaah mkuu umeamua umuite babe wangu aje asomee hii au siooπ π π π
Niko nakamilisha report yangu ya uchunguzi. Kuna siku nitsiweka hapa(publish)Habari wakuu!
Siku hz unakuta wanasema haki sawa ktk njanja zote. Sasa ktk familia unakuta mwanaume ana kazi isiyo ya kudumu yan tenda na mke amebahatika kupata kakazi ka maana lakn utakuta mwanamke anaomba hela ya matumizi kwa mumewe wakat anajua kwamba hana hela sometimes na akinyimwa lawama nyingi.
Kwa upande wangu ni kwamba zaman kdg ilikua ni kwasabab mwanamke hana kaz lakini ck hz lijit lina kaz bd utaskia, 'naomba pesa ya kusuka.'
Na anajua mumewe hana hiyo pesa, yani mwanaume apambane kula ya familia,apambane kusomesha watoto, apambane kuwapa mahitaj muhimu bado ampe m2 hela ya kusuka wkt yeye ana hy hela.
Duuh iv hz pesa zao huenda wapi? Huu ni mtazamo wangu. Nawasilisha?
Hahahamwanamke hajaumbwa kuprovide, sisi no mbuzi wa kafara
Uchunguzii gani mkuuNiko nakamilisha report yangu ya uchunguzi. Kuna siku nitsiweka hapa(publish)
Kuhusu mahusiano. Fedha na NdoaUchunguzii gani mkuu
Utafiti huo utautoa lini mkuu??π πKuhusu mahusiano. Fedha na Ndoa
I hope next weekendUtafiti huo utautoa lini mkuu??π π
Ngoja tusubiriee mkuuI hope next weekend
Simp anaona sifa kusifiwa ujinga kwa kigezo cha kuitwa mwanaume unalazimishwa kuamin kuwa ukiprovide ndio umekamilikaAcha ujinga....maisha yamebadirika Sasa ila wewe bado una akili za zamani.
Ji update bro
Stay tunedNgoja tusubiriee mkuu
Ela ya kope,ya kucha ,ya kusuka ,mafuta iwepo bila ivo ugomvi π€£