Wanawake na matiti

Wanawake na matiti

Mkuu mwanga mbona siku hizi yako wazi kabisa!au huwaoni wanavyovaa,na pia wakishajifungua hua hawayaoneshi kama unavyosema,nikwakua kuna ulazima wa kumnyonyesha mtoto na mtoto achagui sehemu,hivyo inamlazimu mama mtoto anyonyeshe ata kama nikwenye daladala.
 
naomba kujuzwa hasa hawa mabinti ni kwa nini kabla hawajazaa matiti yao huwa hawataki kutuonesha tuyaone ila wakisha zaa utaona anatoa mbele za watu anaanza kumyonyesha mtoto, je ina maana wakisha zaa matiti yao hayana thaman tena? tujuzane jamani

Mtoto analia anataka kunyonya na hicho ndicho chakula pekee cha mtoto. Mama afanye nini zaidi ya kumpa nyonyo mtoto?

Mwili wa binadamu hakuna wakati unakosa thamani. Human body is always expensive.
 
haijalishi kazaa au hajazaa,bali huko ni kukosa haya na maadili,mwanamke kuonyesha matiti yake wazix2 ni kukaa uchi,mwili wa mwanamke wote ni uchi,ndio maana ni nadra sana kumuona mwanamke amechutama pahala mbele za watu akaanza kukojoa,lkn angalia wanaume,popote pale bila hata ya kujali kama pana wtt au nani hufungua zipu ya suruali yake na kuanza irrigation,matiti ya mwanamke hayafai kuonekana ila mumewe tu kama ameolewa.
 
Early in the morning, the boobs man strikes!!!

Nitakamata hela kweli leo??
 
Kwikwikwi baadhi ya wanawake siku hizi wanatamani kuyaacha wazi kabisa ila wanashindwa tu.maana nguo wanazovaa na na sidiria za kubidua titi huacha wazi kabisa
 
Bora umechangia wewe Iron Lady inaleta uzito na msisitizo maana tungechangia sisi wanaume tunaweza sutwa.
Kwikwikwi baadhi ya wanawake siku hizi wanatamani kuyaacha wazi kabisa ila wanashindwa tu.maana nguo wanazovaa na na sidiria za kubidua titi huacha wazi kabisa
 
Makubwa!matiti yameshakuwa sehemu ya jukwaa la kisiasa siku hizi?
 
Mtoa mada unakaa mji gani ? njoo Dar ufaidi matiti nje nje wenyewe wanaita BLUE TOOTH. si matiti tu hata pichu huku tunaziona sana wakivaa milegezo.
 
Mleta mada usiishi kwa kukariri.
Kwani vyote vinavyoonekana havina thamani?
Magari,magorofa nayo je?
 
8.jpg
 
Back
Top Bottom