Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Hivi kwa nini watoto wa kike
wakisha zaa huwa hawaya thamini
matiti yao??? .. Jana hv wakati
nipo kwenye gari kuna dada
mmoja hv akatoa titi lake akawa
anamyonyesha mtoto wake .. Mi
nilikaa nae siti moja nikamwambia
dada ingekuwa vizuri ungemfunika
na baby show au hata na kanga
hizo sio vizuri maana sisi
wanaume tumeumbwa tofauti
wengine wakiona matiti tu hali
inakua mbaya afu wengine pia
tunaona kinyaa kuona maziwa
hayo mtoto anayonyonya .. Daah
basi yule mdada alinikataa jicho
hilooo Yani Obtuse angle kisha
akanipiga msonyo huuuuoo
sijawahi usikia .. Aah ilinibd
nishuke kituo kinachofuata ...
Eti wanawake jamani kwanini hamthamini matiti yenu baada ya kuzaa.
utamaduni unabadilika lakini mbona hatuvai magome ya miti.kwanini asijifunike na kanga
tunayaona tunaacha,hata mimi jana niko kwenye daladala nimekaa na dada ambaye alikua akimnyonyesha mwanae,ila kwakua halinihusu nikamuacha,na si mara 1 mdau
Hivi kwa nini watoto wa kike
wakisha zaa huwa hawaya thamini
matiti yao??? .. Jana hv wakati
nipo kwenye gari kuna dada
mmoja hv akatoa titi lake akawa
anamyonyesha mtoto wake .. Mi
nilikaa nae siti moja nikamwambia
dada ingekuwa vizuri ungemfunika
na baby show au hata na kanga
hizo sio vizuri maana sisi
wanaume tumeumbwa tofauti
wengine wakiona matiti tu hali
inakua mbaya afu wengine pia
tunaona kinyaa kuona maziwa
hayo mtoto anayonyonya .. Daah
basi yule mdada alinikataa jicho
hilooo Yani Obtuse angle kisha
akanipiga msonyo huuuuoo
sijawahi usikia .. Aah ilinibd
nishuke kituo kinachofuata ...
Eti wanawake jamani kwanini hamthamini matiti yenu baada ya kuzaa.
Mimi huwa nawasaidia kuyarudishia kwenye sidiria....
Yani mfano Uwoya achomoe titi, wewe utasaidia kulirudisha!! Au ili upate utamu?
Hahahaaaa, kwa hiyo jamaa anamwambia mwanamke amnyonyeshe mtoto ili aone matiti?Tunayathamini sana. Wewe tu Sema ugojwa wako uko kwenye hayo matiti.
Nyie ndo Namba moja kwenye gari Mtoto akilia utasikia, " dada si umnyonyeshe Mtoto au si wako?" Kosa langu ni lipi sasa Nikitimiza wajibu wangu kwa Mtoto ili asilie.
Kwanza Uende mzazi katembea mda mrefu Mtoto analia kafika kwenye hiace anaona ampe Mtoto haki yake, sasa amwache aendelee kulia wakati nyonyo IPO?!!