adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake....hawa viumbe hawapendani hatari...Wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao waliniambia hii kauli kuwa Wana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake wenzao Sasa sijaelewa huwa wanajihami Ili siku ukikuta Wana mazoea na wanaume ujue kuwa walikutaarifu.
Sijawahi kuwa na mwanamke halafu aseme ana wakubali marafiki wenzake wa kike sababu eti Wana wivu.
Ila me sipendi hii kauli wanaoipenda kuitumia kwanini awe na marafiki wa kiume huu Ni utopolo.
Uko sahihi.Wanawake wenye marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike ndio wanaongoza kwa uaminifu
Wengi watabisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jf raha sana
Umeachika mama VP tugongeee nnNyooooooooo......
Mkulu umeacha gepu tutege ndoanoMengine usiwe unayawazia sana...
Sasa utongoze ya nini wakati mazingira yatajitokeza tuu utamkula mbususuWanaume huwa hawamtongozi ovyo mshkaji wao wa kike!!
[emoji28][emoji28][emoji28]Mkulu umeacha gepu tutege ndoano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππWanawake wenye marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike ndio wanaongoza kwa uaminifu
UmefanyajeTatizo linakuja Wivu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona kama umeusoma mwandiko wangu rohon JUkipata mwanamke anayejielewa hawezi kuweka mazingira ya wewe kuona wivu
Mbona kama umeusoma mwandiko wangu rohon J
Kabisa...ππHahahahh mi na wewe si tuna roho moja π
Acha uongo hakunaga mwanaume anae anzisha urafiki na mwanamke usio kua na malengo.Wanawake wenye marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike ndio wanaongoza kwa uaminifu
Uongo ni upi kwenye nilichoandika?Acha uongo hakunaga mwanaume anae anzisha urafiki na mwanamke usio kua na malengo.
Hata kumuwazia kumla ni ngumu pia,maana mnakuwa washkaji na huwa mnapiga stori nyingi .Sasa utongoze ya nini wakati mazingira yatajitokeza tuu utamkula mbususu