Wanawake na kumbi za starehe

Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen [emoji23]
Tunakoenda wapi ee Mola
Achana na south africa wewe...sio wenzetu wale
 
Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen [emoji23]
Tunakoenda wapi ee Mola
Kumbe ni Savannah tu ndio imempelekea hivyo
 
Kwani tatizo lipo wapi hapo? kama wew una ajira ya kudumu wengine hawana kazi ndiyo kazi yao hiyo... Usidharau kazi za watu..
anaweza pia akawa na ajira yake but hiyo ni sehem ya burudan yake ya after four thirty, wewe inakuuma nini?, wewe ungependa wanawake waweje in your republic?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…