"Wanawake ambao ni wanaharakati asilimia 90 hawana wanaume yaani hawajaolewa"
Wengi wao ni viburi na kukosa heshima. Hata walioolewa huachika.
Juzi kati Kuna dada yangu, yeye ni mwalimu Ila baada ya kusoma Kupata diploma ya Udhibiti ubora, tayr amebadilika sana.
Kitu Cha kushangaza ni kudai talaka ili awe huru kwani anadai kuwa haezi shindwa kuishi pekee.