Naona nimeparamia post ya watu si unajua ugeni tena. Ila na sisi vimada tunafua Paulina . Ndicho nilichotaka kukwambia sasa sijujajua kutumia JF vizuri.[/QUOTE
mnh ngumu kuamini wewe sio Nyumba Kubwa...mbona umeedit original post yako,mwenzio tayari nilikuwa nishakuquote lol:A S-coffee:
mapenzi sio mashindano...ila mapenzi pia si utumwa kama wote mko in love then mtakuwa rensponsible kwa mambo yenu huyu akishika hiki,mwingine atashika kile ili siku ziende......
sidhani kama ni wajibu wa mke kuhakikisha mumewe anakuwa smart all the times,ni wajibu wa mume kufanya hivyo....na mke pia yuko rensponsible kwa usmartness wake sio wajibu wa mume...tusibebeshane mizigo!
bora wewe Uporoto ulikuwa unajishughulisha kidogo,wenzio hata hawajishughulishi wanaona ni haki wao kufanyiwa tu ila wasifanye lolote....
mpaka hapo hufai kuitwa MKE....!na aliyekuoa most likely anachapa njenimegundua hili ni tatizo la wanawake wengi,wanakuwa kwenye mahusiano kimachale machale saa yoyote mumewe anaweza kuwa na nyumba ndogo.....hofu hii imepelekea kuwafanya kuwa watumwa wa ndoa zao,atajitahidi amtreat mumewe kama mfalme/bossi lol,atamfulia,atamnyooshea nguo,atajitahidi awe anaamka mapema amtengenezee chai.........akihofia asipofanya haya mumewe ataenda nyumba ndogo.............................wakina kaka kuweni rensponsible kidogo...chochote unachoona kiko kny uwezo wako kifanye!!!.........................usitafute kisingizio cha kuwa lazy ili uvunje nyumba yako.............ukimwi unaua,sijui niko too westernized ila bado sijamfulia na kunyooshea mtu mzima nguo:smash::smash::smash: hata kupika nitajitahidi kumshirikisha na yeye alternative days...lol
unajua mabadiliko mengi ya mume yanaanzia kwa mke, eg mie wakati naolewa nilikuwa cpendi mr alivyokuwa na ma boxer ya rangi rangi, napendelea white, nilimbadili mpaka leo hata yeye akienda kushop hawezi kununua tena za marangi rangi, lazima white, na mind u hatufanyi hayo yote tukihofia nyumba ndogo kutusaidia mie nafanya kama wajibu wangu kwa mume wangu, namfulia/mpikia etc, unaweza ucmfanyie yote hayo na bado akawa na hizo nyumba ndogo, kuwa na nyumba ndogo ni hulka zao tu but hazitufanyi wake tuwe na hofu/kufanya hiki na kile tukihofia nyumba ndogo, mie nafanya coz ni wajibu wangu kama mke.
Samahani dada,kwani boxers na chupi hazifuliwi na mashine?...au mapenzi?
nimegundua hili ni tatizo la wanawake wengi,wanakuwa kwenye mahusiano kimachale machale saa yoyote mumewe anaweza kuwa na nyumba ndogo.....hofu hii imepelekea kuwafanya kuwa watumwa wa ndoa zao,atajitahidi amtreat mumewe kama mfalme/bossi lol,atamfulia,atamnyooshea nguo,atajitahidi awe anaamka mapema amtengenezee chai.........akihofia asipofanya haya mumewe ataenda nyumba ndogo.............................wakina kaka kuweni rensponsible kidogo...chochote unachoona kiko kny uwezo wako kifanye!!!.........................usitafute kisingizio cha kuwa lazy ili uvunje nyumba yako.............ukimwi unaua,sijui niko too westernized ila bado sijamfulia na kunyooshea mtu mzima nguo:smash::smash::smash: hata kupika nitajitahidi kumshirikisha na yeye alternative days...lol
Tumia dettol mamii kila unapokuwa unafua nguo za watoto, hata kama ni kwa mkono si unajua tena?Nyumbani kwangu ni marufuku kufua chupi sijuhi boxers kutumia machine kwa sababu nina watoto wadogo na siamini sabuni zinaua wadudu wote. Naona vibaya kufua nguo za wanangu kwenye machine inayofua chupi za watu wazima. And mind you kuna other family members kama h/girls ambao wakiona unafua chupi kwa machine they will do the same kama wana magonjwa yao uoni kuwa ni hatatri kwa watoto.
Tumia dettol mamii kila unapokuwa unafua nguo za watoto, hata kama ni kwa mkono si unajua tena?
na yeye huwa anakufulia au yeye hakupendi kuliko maelezo??:smow:
Haya ni mawazo pevu, mawazo ya kikubwa, nakushukuru sana. Mazingira ya west na hapa kwetu tofauti kabisa. West mama hana nafasi ya kufanya kazi za nyumbani amebanwa kama alivyobanwa baba, kwa hiyo kusaidiana ktk kazi ndogondogo ya home ni sawa. Hapa kwetu hatujabanwa kihivyo, sisemi eti baba asifue, mbona tunafua jamani. westernization tusipoangalia itatufikisha pabaya.
[/COLOR]
Hapo niliweka red - pamoja na kuwa tunaposema "hapa kwetu" ni general term kwani "KWETU" pana miji mingi - lakini kama tunaongelea "DAR CITY" - kama mama ni mfanyakazi na baba ni mfanya kazi - TUMEBANWA PIA - na hizi foleni za Dar mnatoka wote asubuhi mapema na kurudi late jioni - weekend - saturdays ndio mko free wote (kama hamwendi kazini) HAPO NDIPO BA KUSAIDIANA JAMANI ...............HATA KAMA UNA HOUSE MAID AU HOUSE BOY - kuna shughuli zinazopaswa kufanywa na nyie wana ndoa ..........................ndio muda wa kuwa na watoto - kupika chakula kitamu - kuona kuwa nguo ni safi, makabati yamepangwa - achilia mbali usafi wa mazingira ya nyumba yenu - SASA MAMA PEKE YAKO UTAWEZA?? MKISAIDIANA NA MUMEO SIO NDIO SAWA?
No wonder unamkuta WIFE kesha-ota wrinckles kwa mchoko - wakati HUSBAND anaoneka bado mbichiiiiii - TOO MUCH WORK IS HARMFUL - HAKUNA MTU ASIYEHITAJI KUPUMZIKA ....................LAKINI KAMA MTU UNAONA MUME NI KAMA FIRST BORN WAKO (MTOTO) BASI ..................UNAMENYEKA - IKIFIKA JIONI UKO HOI - NAYEYE ANAKUAMBIA NATOKA KIDOGO .................
MAISHA NI KUPANGA - NA KUPANGA NI KUCHAGUA.:decision: