Wanawake muwe mnatukataa kweli kweli

Sasa mtu anakataaje uongo!!! Akisema hataki anamaanisha, sasa hiyoo ya kuanza kutukana sio
 
Mkuu wengine ndio tunapenda wanawake wa aina hiyo maana huwa najiuliza ana nini special hadi awe mkali hivyo.


Huwa nitapambana hapo mkuu.
 
Kuna time mtu unakuwa bored unajikuta unainjoi kuchat na kubadilishana mawazo na watu sio lazima iwe mapenzi kwani wanaume hampendi urafiki wa kawaida na Wadada?
Urafiki gani huo?? Njoo pm
 
Me napenda kama dem hanitaki anionyeshe live ikibidi asinijib meseji zangu..ila akianza kuchat chat na mimi nahisi anaenda kunikubali sasa kwanini aendelee kunichora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…