mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,705 Reaction score 10,412 Aug 15, 2018 #41 Evelyn Salt said: Usipoombwa pesa there are two things involved..... Click to expand... Unakumbuka yale masaa matano uliyopigwa mbupu Hahahaha Ulikula vya watu Sio?
Evelyn Salt said: Usipoombwa pesa there are two things involved..... Click to expand... Unakumbuka yale masaa matano uliyopigwa mbupu Hahahaha Ulikula vya watu Sio?
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,618 Reaction score 18,557 Aug 15, 2018 #42 dark angel said: Mwanamke wa namna hiyo amekosa maarifa. Halafu hizi tabia za kuomba omba hela ni itakuwa hakutaki huyo. Siku nyingine jaribu kutafuta wanawake wa maana. Click to expand... Kumbe mwanamke anayeomba hela ni yule hasiyekutaka.
dark angel said: Mwanamke wa namna hiyo amekosa maarifa. Halafu hizi tabia za kuomba omba hela ni itakuwa hakutaki huyo. Siku nyingine jaribu kutafuta wanawake wa maana. Click to expand... Kumbe mwanamke anayeomba hela ni yule hasiyekutaka.
triga JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 1,029 Reaction score 5,712 Aug 15, 2018 #43 "50,000 bibie huko saluni unaenda kusafisha na ubongo au?" Mabishano ya majirani zangu hapa nasikia mwanaume analalamika namna hiyo
"50,000 bibie huko saluni unaenda kusafisha na ubongo au?" Mabishano ya majirani zangu hapa nasikia mwanaume analalamika namna hiyo
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,905 Reaction score 172,788 Aug 16, 2018 #44 mbarika said: Unakumbuka yale masaa matano uliyopigwa mbupu Hahahaha Ulikula vya watu Sio? Click to expand... Sio mie umenifananisha
mbarika said: Unakumbuka yale masaa matano uliyopigwa mbupu Hahahaha Ulikula vya watu Sio? Click to expand... Sio mie umenifananisha