Wanawake, Mungu awasamehe tu jamani!

Mwambie ukweli kuhusu Hali yako ya uchumi ,asipoelewa angalia ustaarabu mwingine.
Asante, ila kweli maana wanawake wasioomba pesa wapo, hawa wa pesa ni kuachana nao tu, isitoshe sisi wanaume ni wachache hivyo wao ndo watubembeleze.
 
Sorry but ukishaona demu anatabia hizo tafadhali mteme kabisaaa.
Huyu ni mdangaji type... halafu wanakuwaga na matumizi mabaya ya pesa.

Hata ukiwapa wanachoomba pesa wanapeleka kwenye starehe.
Mkuu umegonga mule mule kabisa.
 
Mwambie ukweli kuhusu Hali yako ya uchumi ,asipoelewa angalia ustaarabu mwingine.
Wewe umeongea la maana sana .

Most ya Wanaume hawapo Really kimaisha nahawapo wazi .

Yaan anakua namwanamke basi kwakua alimpata kwa hongo naye atajitahidi mpaka kukopa ili mradi amkeep dem .
Kwa hali hii watakua na madeni sana !!

Mwambie tu Mwanamke uchumi umebana. Jitahidi kupunguza Gharama zisizomuhimu.
 
Kwa hiyo dawa ni kuwanyima tu wakiomba?
Usimyime direct..piga karenda za kutosha..zen akikomaa mpe kidogo ukimuahidi vingi baada ya hicho..tutumie akili tusiendeende kama mang'ombe..tutapigwa mizinga mpaka tubadilike rangi.
 
bon mwaitege: njoo ufanyiwe maombi, njoo uombeweeee.
 
Mwanamke hata afahamu kua hauna hela na umeshinda nae ndani siku nzima baada ys masaa kadhas anakuomba hela
 
Wewe unalia lia wenzako anaongeza idadi yani kama anawanawake wa2 anaongeza mwingine mmoja na wote anatoa hudumu
Muhimu tafuta pesa kijana na tafuta mtu size yako yani level yako sio wewe mtu wa chuo unatafuta shangingi la mjini utalia kila siku hapa jukwaani
 
Jamani mnatuachaga sisi maana sio wazuri mnaaibu kutembea na sisi mnaoa masupastaa wa mji mkishindwa mnatukimbilia kwa ushauri komeni.
dili na hali zenu
 
Sasa si uachane na wadangaji mkuu....nan kakutuma ufakamie hao wadada wanaoamini ktk kuhongwa....shauri yako ....wataendelea kukukamua hadi upate hypovolemic shock....achana nao
 
Bora lawama kuliko fedheha

Kula wanafunzi a k a watoto wa jamhuri

Hawanaga hasara hao utalialia mpaka lini kamata fursa twnzetu
 
Mkuu hiyo jera miaka 30 lakini ujue.
 
Bora lawama kuliko fedheha

Kula wanafunzi a k a watoto wa jamhuri

Hawanaga hasara hao utalialia mpaka lini kamata fursa twnzetu
Unachezea miaka 30 jela mkuu.
 
Bora lawama kuliko fedheha

Kula wanafunzi a k a watoto wa jamhuri

Hawanaga hasara hao utalialia mpaka lini kamata fursa twnzetu
Unachezea miaka 30 jela mkuu.
 
Na ukimwambia huna ananuna, anavuta mdomo. Anasusa.
Simu hupigiw wala text huzion tena.

Hela zangu mimi halaf nikikosa unune ww?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…