Una akili sana, check pm yakoMwanamke wa namna hiyo amekosa maarifa.
Halafu hizi tabia za kuomba omba hela ni itakuwa hakutaki huyo. Siku nyingine jaribu kutafuta wanawake wa maana.
Haswaa. Ukiona mtu yeye yuko kwako kwa sababu ya shida tu. Mara hiki mara kile. Yaani haishi shidah. Huyo amekugeuza mzaziMwanamke wa namna hiyo amekosa maarifa.
Halafu hizi tabia za kuomba omba hela ni itakuwa hakutaki huyo. Siku nyingine jaribu kutafuta wanawake wa maana.
Sorry but ukishaona demu anatabia hizo tafadhali mteme kabisaaa.Hali ya uchumi kwa sasa kila mtu anaijua wanandugu, mwanamke anakomaa kukuomba pesa ya chakula, hapo hapo anapandishia na pesa ya salon/keki, unaamua kujikamua unamtumia pesa kidogo ukiamini atanunulia chakula, kesho yake anakutumia msg anasema umtumie pesa ya chakula, ukimuuliza kwani ya jana umetumia kwa kitu gani, anakujibu aliendea salon. Hivi kweli unaweza kutumia pesa kwenda salon wakati huna chakula??.
Ni kweli halafu haipendezi. Unajua hata kama mwanamke ana shida siyo mbaya akikuambia, lakini mwanamke kama anamjali mwanaume wake, anamfariji, anajua wajibu wake mfano , kumwombea, kumtakia kazi njema, kumpa pole anapotoka kazini , kuuliza ratiba za siku nzima zimeendaje, hata mwanaume akitoa hela hakumbuki hata kuumia.Haswaa. Ukiona mtu yeye yuko kwako kwa sababu ya shida tu. Mara hiki mara kile. Yaani haishi shidah. Huyo amekugeuza mzazi
Hahahaaa hhUna akili sana, check pm yako