kiongozimstaafu
Member
- Oct 22, 2014
- 25
- 9
A man can work for 10yrs with unemployed wife and still be happy, But a woman will work 5dys and the whole community will know about the unemployed husband.
Dah hao ndivyo Mungu alivyowaumba ila wanazidiana kwa busara ukimpata mke mwema mwoe haraka ukimpata bozo and foolish utakuwa mwanafalsafa
Ni maumbile yao ushindi yako ni yenu ilhali ushindi wake ni yake pekee.
Sure!Hahaha nimeipenda hiyo, kwamba utatafuta misemo yote Duniani ili kujifariji siyo!
fact√√Ukimpata bozo and foolish utakuwa mwanafalsafa