Wanawake Mungu anawaona mjue

Umetumza bikira ya Tako miaka yooote Leo ingetolewa kiuzembe kbsa
 
Pamoja na kuwa ni chai ila hii imewakuta wengi sana wanawake sio waaminifu kwenye kutunza sms zisishikwe
 
Umekimbiza donati kama kunguru

Anyway sasa hivi ingekuwa unajibitisha badala ya kuandika uzi
 
Chai
 
Makosa ya demu na wewe mwenyewe.

1. Uliwezaje kuomba namba siku hiyo hiyo na kuanza kumpigisha story sana usiku huo?
2. Huyo demu ni miyeyusho ilikuaje akakukubalia haraka hivyo kama sio umalaya?
3. Ilikuaje mkakubaliana kwenda kulombana siku ya pili yake tu?

Umetupanga hapo.
 
Kawaida mkuu,

Siku hiz mzigo ni siku hiyo hiyo
 
Mtu wa kuokoteza wanawake hovyo njiani hawezi kua na uwezo wa kuchinja Mbuzi,labda achinje Njiwa.
Mi sijaona kosa lake, shida ipo kwa mwanamke aliekutana nae"
Haijalishi ni wapi wangekutana, kwani kuna tatizo gani kumpenda mtoto wa mtu barabarani!?
Ukiwa unatembea ukiona kitu unachopenda ukikinunua na kuondoka nacho hamna shida"

Hapa shida imekuwa kwa muuzaji alietaka kuuza kitu cha wizi bila mnunuzi kujua.
 
Yaan unausafiri unaenda gest ya choo cha nje, yawezekana ww ni bodaboda
 
Tatizo la kukosa kazi limefanya watu wengi wawe na vipaji vya kutunga stori, hiki kipaji ukikitumia vizuri unaweza kuandika series nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…