Kwaio kwa akili zako unadhan Mungu ndicho alichomanisha?
Ushaur wa bure tafuta mchungaji wa kanisa lililo karibu na wewe akufafanulie huo mstari
na muache ku relate the Word of God na thoughts za kipuuz
Sasa kama yupo anaestahili nn kinakuwasha kwa hao wengine???c umpelekee huyo anaestahili uone kama utaombwa ombwa[emoji57] [emoji57] papuchi unazitaka wakati mkono wa birika lol[emoji23] [emoji23]