AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,520
Wewe umekimbiwa na wanaume wa DarMimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja
Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao
Siku hizi imekuwa kinyume wanaume ndo mnakimbia wanawake loh aibuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
HIYO ID YAKO INA REFLECT HAYO UNAYOYASEMA KULINGANA NA KABILA LAKO...Mimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja
Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao
Siku hizi imekuwa kinyume wanaume ndo mnakimbia wanawake loh aibuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatumia dk ngapi?Mimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja
Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao
Siku hizi imekuwa kinyume wanaume ndo mnakimbia wanawake loh aibuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kwa waafrika zidisha hizo dakika mara tatu mpaka nne siku nyingine lakini zisipungue dk 30 kwa round moja
Fanyeni mazoezi kuleni vizuri zama hizi nguvu za kiume ni dhoruba barani Africa msitake kujilinganisha na wazungu mbona babu zenu walikuwa wanakimbiwa na wake zao
Siku hizi imekuwa kinyume wanaume ndo mnakimbia wanawake loh aibuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.
Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.
Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.
Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.
Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.
Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.
Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.
Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mhanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.
Nyege ni kunyegezana.
Inategemea na urefu wa kilele. Kwa mfano kilele cha Kilimanjaro naweza chukua siku 3-4 ila vilele vya kawaida nusu saa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanayonikuta mimi tena?Pole sana kwa yanayokukuta.
Ni kweli kabisa. Kama hajakupenda we kojoa nenda zako. Sisi kufika kileleni kunachangiwa na hisia ama la akuigizieHahaha ninachojua mwanamke akikupenda. Kufikia kielel ni dakika 15.. hata 10.
Ila kama hana hisia na ww.. utasugua wiki nzima lakin wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa sana sister faiza,upo vizuri,asante kwa darsa.Afrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.
Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.
Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.
Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.
Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.
Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.
Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.
Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mhanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.
Nyege ni kunyegezana.
ShikamooAfrika wengi wasiokuwa na mafunzo sahihi wanapanda bila matayarisho.
Sexuality ni matayarisho kabla ya kupandana, kupandana ni kufikia tu kikomo.
Maandalizi ya mambo (sexuality) huwa ni mfumo wa maisha, raha jipe mwenyewe, toka usafi wa unapoamka mpaka unavyoishi, unavyokula, namna ya kufikiri na mpaka shughuli unazofanya kila siku.
Kwa jinsi tunavyosoma "comments" za wengi kuhusu "sex" ya Ki Afrika, hususan Tanzania, tunaona kuwa uanamme wa mtu anaupima kwa muda gani ataweza kuhimili kumtesa mwanamke kitandani. Kila muda unavyokuwa mrefu kwake ndiyo uanamme.
Kwa mwanamke hayo ni mateso. Muda mrefu anaotakiwa kuchukua mwanamme ni kuandaa mazingira na kuandaa "sexual feelings" kwa wote na si kudumu aki pump kama hana akili vizuri.
Waswahili, mila zetu ni maandalizi ya muda mrefu kuwa sexual, kuanzia mavazi, manukato, usafi, vyakula mpaka namna utavyoongea, bedroom (venue) imetayarishwaje, maongezi ya kabla na baada na mambo mengi madogo madogo ambayo hayaelezeki.
Jamii nyingi (majority) za Kafrika mwanamke anakuwa ni mtumwa, hiyo "sexuality" ataijenga saa ngapi.
Jitu linanuka shombo ya nyama choma, domo limechacha mipombe ya kutwa nzima, jasho la ma barmaid limemganda kwenye nguo, akiingia nyumbani kwake ananuka sigara, pombe, jasho lake, jasho la ma barmaid mchanganyiko, akivua viatu soksi zinanuka uvundo. Akivua nguo rangi ya mwili imebadilika na kupauka kwa fangasi za uchafu. Huyo hata dakika elfu kumi hamfikishi mwanamke kileleni labda wawe hali kadhalika. Kinyaa.
Nyege ni kunyegezana.