Wanawake mtuvumilie tu

Wanaume bwana, Mungu anawaona mjue
 
Ndio maana nikasema una maamuzi magumu Visichana vingi bado havijajitambua kama wewe.
Bwana ako muda wote anatembea kifua mbele dadeki I wish I could be your husband [emoji51][emoji51]
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Stunter mkuu umewaeleza siri ya kiumeni ila sio mbaya acha waujue ukweli japo unauma.
 
Nyoo nyie wanaume mnatofauti gani na mbwa [emoji126] [emoji108]
 
Nyoo nyie wanaume mnatofauti gani na mbwa [emoji126] [emoji108]
Kwa hiyo waliokulala wote ni mbwa.? Dah pole sana ila mbwa ni hao waliokuguegeda wewe tu sisi wengine ni watu lakini ukweli lazima tuwaambie
 
lol
 
Apana mkuu kua mwanamme sitaki hata kufikiria hawa viumbe wanakua wa aina yake ...

sisi ni viumbe maridhawa...ubunifu wa kwanza wa muumba,chanzo cha bin adam woooote.WE WILL ALWAYS BE MEN!mtuelewe tu....mbona nyie tunavumilia makelle yenu bana!!???
 
sisi ni viumbe maridhawa...ubunifu wa kwanza wa muumba,chanzo cha bin adam woooote.WE WILL ALWAYS BE MEN!mtuelewe tu....mbona nyie tunavumilia makelle yenu bana!!???
mmmmmmh,Mnavumilia makelele lakini Subra ya moyo hammna ambacho wanawake mwenyezi mungu kawapa..
 
mmmmmmh,Mnavumilia makelele lakini Subra ya moyo hammna ambacho wanawake mwenyezi mungu kawapa..

Yaani hapo dadangu ndo ile dhana ya 'wa kufanana nae' inapokua relevant.being 'compatible' is different from being 'alike'...
Mlichonacho sie hatuna na tulichonacho nyie hamna...
 
Huwa nashangaa sana mnaposema wanaume sie sio waaminifu, kama wanawake, hivi huo uzinzi huwa tunafanya na jinsia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…