Wanawake mtuvumilie tu

Wanaume kila kitu huanzia akilini hata ngono huanzia na kuishia akilini ndio maana "bao la mkono" linawezekana.Wanawake hisia zao zimegandamana na miili yao ndio maana hata tendo la "kusagana" uhusisha hisia sana.Hivyo yatosha tu mwanaume kuona sehemu inayo mdatisha kwa mwanamke akamtamani mwanamke yule(sio kumpenda)akamaliza na kama ilivyo semwa huko juu majuto na mawazo huanza na hasa kama hakutumia mpira
 
Me kwangu afanye tu, agonge hata vibibi ila nisijue. Na hyo demu wake pia sitaki kumjua wala yeye hasinijue.

Mwanamke una maamuzi magumu hadi shetani anakushangaa.
Mwanaume wako inabidi ajivunie tu
 
Hapo ndio hua sielewi kabisaaa,unaanzaje kumvulia mwanamke zipu bila nafsi yako kukusuta kua jee mkeo /mpenzi wako
akifanya hivyo utajisikiyaje?

siku ukiwa mwanaume utaelewa tu,tena kirahisi sana!
 
[QUOTE="espy, post: 19952235, member: 157962"]Fungueni tu ila msituletee maradhi, na pesa msihonge huko.[/QUOTE]

Barikiwa sana!
 
Hapo ndio hua sielewi kabisaaa,unaanzaje kumvulia mwanamke zipu bila nafsi yako kukusuta kua jee mkeo /mpenzi wako
akifanya hivyo utajisikiyaje?
Mke akifanya hivyo anapata talaka yake.
 
Well said mkuu... Umeongea kweli
 
Mwanamke una maamuzi magumu hadi shetani anakushangaa.
Mwanaume wako inabidi ajivunie tu
Ssa kwa tabia zenu wanaume unategemea sisi kama wanawake tufanye nn. Maana ukimfatilia sana Mwanaume mtagombana kila siku
 
Hahaaaa hatari sana mdada mwingine naye anakwambia angalia hata kuku jogoo mmoja anawamuduu hata teteaa 30 na wote watataga tu
Hahahaa Jogoo ni role model wetu kwenye uplay boy. Japokuwa mshkaji anapiga kwa sekunde
 
Naomba kuuliza swali la kijinga, Umesema mwanaume hata kama hajampenda mtu
Hahahaa Jogoo ni role model wetu kwenye uplay boy. Japokuwa mshkaji anapiga kwa sekunde
role model wa nani umesema?
 
Ssa kwa tabia zenu wanaume unategemea sisi kama wanawake tufanye nn. Maana ukimfatilia sana Mwanaume mtagombana kila siku

Ndio maana nikasema una maamuzi magumu Visichana vingi bado havijajitambua kama wewe.
Bwana ako muda wote anatembea kifua mbele dadeki I wish I could be your husband [emoji51][emoji51]
 
Roho aliyopewa mwanamke ni kwa ajili ya kumsaidia mwanaume.

Anafumania hafu kwenye usuluhishi wanaombana msamaha, akiona inezidi anamshauli amuoe awe mke mwenza.


Ikitokea mwanaume akafumania, anawaza kumfanyia kitu mbaya. Jamani hapo ndio mambo ya taraka hushika hatamu kama mwanaume yule anabusara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…